Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,403
njo tukuyu mbeya ununue eka 5 za shamba upande ndizi na maparachichi utakuwa tajir wa kutupas baada ya miaka mitanoSalama wakuu,
Kwa million 7 Dar, unaweza kufanya biashara gani?Mdogo wangu muda mrefu hajapata ajira, hivyo nimeona ni vyema nimpe kidogo ili anishughulishe.Ni jinsia ya kike.
wewe unafuso ngapi?Apo kachukue shamba ulime tu bro hakuna kazi ingine... miaka mitano ushaweka fuso barabarani
Kaka njoo tufanye biashara huku chunya, ya usagishaji wa mawe ya dhahabu, hautojuta kuingia kwenye biashara hii. Nipm tuongee kwa kirefuSalama wakuu,
Kwa million 7 Dar, unaweza kufanya biashara gani?Mdogo wangu muda mrefu hajapata ajira, hivyo nimeona ni vyema nimpe kidogo ili anishughulishe.Ni jinsia ya kike.
28Huyo dada yako ana umri gani kwanza
Kuna Biashara Inahitaji Mtaji Wa Millioni Moja Tu Na Faida Utakayoipata Kila Unapotoka Pori Kuja Mjini Ni Laki Mbili Na Nusu Na Ndani Ya Mwezi Mmoja Unaweza Kwenda Mara Tatu Hadi Nne ...
Uuzaji Wa Kuku Mkuu Unaenda Kununua Vijijini Unakuja Unalanguza MjiniBiashara gani hiyo mkuu, funguka kwa faida ya wote
VIJIJINI NDO SEHEMU YAKUTOKEA KABISAA UKIWA NA CAPITAL KAMA HIYOUuzaji Wa Kuku Mkuu Unaenda Kununua Vijijini Unakuja Unalanguza Mjini
NIKUTANISHE NAYE HUYO MDOGO WAKE NTAFUNDISHA KAZI ILA FAIDA TUTAKUWA TUNAGAWANA MAANA NAMIE NATAFTA CAPITALSalama wakuu,
Kwa million 7 Dar, unaweza kufanya biashara gani?Mdogo wangu muda mrefu hajapata ajira, hivyo nimeona ni vyema nimpe kidogo ili anishughulishe.Ni jinsia ya kike.
ipi hiyo mkuu???Kuna Biashara Inahitaji Mtaji Wa Millioni Moja Tu Na Faida Utakayoipata Kila Unapotoka Pori Kuja Mjini Ni Laki Mbili Na Nusu Na Ndani Ya Mwezi Mmoja Unaweza Kwenda Mara Tatu Hadi Nne ...
Uuzaji Wa Kuku Mkuu Unaenda Kununua Vijijini Unakuja Unalanguza Mjiniipi hiyo mkuu???