GEITA FARM
JF-Expert Member
- Dec 22, 2015
- 336
- 173
Tatizo Watu Wengi Wameng'ang'ania Mjini Utazani Kijijini Ni Kuzimu ... Hiyo Millioni 7 Inatosha Kununua Magunia 150 Ya Mpunga Wakati Wa Msimu Wa Mavuno ... Ukiyahifadhi Baada Ya Miezi Kadhaa Ukija Kuyauza Haitaitwa Tena Millioni 7 Bali Itakuwa Imeongezeka ...VIJIJINI NDO SEHEMU YAKUTOKEA KABISAA UKIWA NA CAPITAL KAMA HIYO
Naomba msaada niijue hiyo biashara mie nipo darKuna Biashara Inahitaji Mtaji Wa Millioni Moja Tu Na Faida Utakayoipata Kila Unapotoka Pori Kuja Mjini Ni Laki Mbili Na Nusu Na Ndani Ya Mwezi Mmoja Unaweza Kwenda Mara Tatu Hadi Nne ...
Mkuu Ukifanikisha Kumuoa Na Huo Mtaji Fanyeni Hivi ... Nendeni Kijijini Mkanunue Magunia Ya Udaga Mje Muuze Mjini ...Natafuta mchumba mkuu. Naomba niku pm kiongozi.
Unaenda Kununua Kuku Vijijini Unakuja Kuuza MjiniNaomba msaada niijue hiyo biashara mie nipo dar
ok,sio mbaya.
labda itakua nanasi,maana geita kwa nanasi aseeipi hiyo mkuu???
mh,hiyo ngumu,kuenda unapita nyumba kwa nyumba?Uuzaji Wa Kuku Mkuu Unaenda Kununua Vijijini Unakuja Unalanguza Mjini
Kaka njoo tufanye biashara huku chunya, ya usagishaji wa mawe ya dhahabu, hautojuta kuingia kwenye biashara hii. Nipm tuongee kwa kirefu
Mleta mada kuwa macho na wachangiaji [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53]Kaka njoo tufanye biashara huku chunya, ya usagishaji wa mawe ya dhahabu, hautojuta kuingia kwenye biashara hii. Nipm tuongee kwa kirefu
Kati ya wachangiaji wote hakuna wazo la maana hata moja maana yote ni mawazo mepesi yasiyokuwa na possibility ya kupata faida na kukua kwa biashara. This explains much why Tanzania is poor.
Hiyo shughuli inahitaji mtaji wa kiasi gani, kama itakuwa ndani ya kipato changu hata mimi nikaingie huko.Hebu nipe muongozo full, shamba unapataje, mtaji, na vyote kwa pamoja, naomba unipe ufafanuziKamnunulie shamba RUVU, kisha mnunulie vifaa vya umwagiliaji, mbegu, dawa na mpe kidogo fedha ya kuwalipa wasaidizi wa kulima. Mwambie alime BAMIA ama MATANGO. Baada ya siku 75 atakuja na ujumbe tofauti na ataendelea kuvuna kw kipindi kirefu hasa hasa BAMIA.