Million 7, mawazo ya biashara

Mfungulie bucha ya samaki wabichi toka mwanza, atafute location nzuri pia apate supplier mzuri kwa mtaji huo hawezi kukosa minimum profit ya1milioni kila mwezi
 
Mfungulieee barbarshop awe anasimamiaaa....
Mtafutie location nzuri....
Tu...6million inatosha kabisa
Hua napenda sana hyo kitu,lakini kwa m6 hebu jaribu kuchanganua inatoshaje?
 
Salama wakuu,

Kwa million 7 Dar, unaweza kufanya biashara gani?Mdogo wangu muda mrefu hajapata ajira, hivyo nimeona ni vyema nimpe kidogo ili anishughulishe.Ni jinsia ya kike.
Awekeze kwenye biashara yangu ya cement nitamlipa faida nzuri mwezi
 
Nimeku PM kuhusu Bamia au kama unaweza elezea hapa maana ninataka kulima Bamia huko kijijini mkuu
 
Mnunulie shamba kama eka mbili mkoa wa pwana hasa maeneo ya mlandizi au kibahaa then aanze ufugaji wa kuku wa malawi pamoja na kuku wa kienyeji as well akifanya na mifugo mingine kama ufugaji wa ngombe moja wa maziwa nk
 
kama yupo dar... afanye Face Art, ainvest kwenye elimu ya face art, ile kuchora watoto usoni ukupita m city, quality centre etc ipo sana mtoto kuchorwa ni elfu 10, au kids events birthday za watoto anazijia na creative style...
atapiga sana hela akilijua game vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…