Millionaires btn Kenya and Tanzania

Millionaires btn Kenya and Tanzania

Ha ha ha wamechukua watu wanaomiliki usd 0.5mil wewe mbona unapindisha?
Sio cash mkuu,ni vipande vya ardhi walivyo navyo na vinyumba vya type ya Mbezi Beach na Tegeta.

Sio cash definitely!

Hiyo cash 0.5Mil USD ni issue wewe!
 
bill mbili za madafu,hata platnumz,laizer himself wanazo.
Hao ni among the 1%....Jee 99% ambayo ni wananchi 60mil wanayo hiyo hela?

Watu kadhaa ndani ya 60Mil population wanazo tu...ila ni 1% tu.

Ndio maana nchi kwa ujumla ni masikini kupindukia.
ni kahela kadogo sana japo sijakashika,ila nakubali kuna individual zaidi ya 5000 tz wanazo hizi.
Hao 5000 sio cash ni thamani ya vijumba na vipande vya ardhi walivyo navyo,kwa Knight Frank hadi pale Uchaggani kwetu vile vishamba vina thamani ya bilioni.

Knight Frank anangalia kajumba na ki-ardhi tulivyogawiwa bure na serikali au kwa kuvamia vijijini na kutoa 500,000/= kwa hela 100!
 
Hao ni among the 1%....Jee 99% ambayo ni wananchi 60mil wanayo hiyo hela?

Watu kadhaa ndani ya 60Mil population wanazo tu...ila ni 1% tu.

Ndio maana nchi kwa ujumla ni masikini kupindukia.

Hao 5000 sio cash ni thamani ya vijumba na vipande vya ardhi walivyo navyo,kwa Knight Frank hadi pale Uchaggani kwetu vile vishamba vina thamani ya bilioni...

Knight Frank anangalia kajumba na ki-ardhi tulivyogawiwa bure na serikali au kwa kuvamia vijijini na kutoa 500,000/= kwa hela 100!
bro hata bill gate wanapigiwa hesabu za utajiri kwenye thamani walizo nazo,pesa cash ni kisanga kingine hicho.

ndio maana ni kosa kuamini kwamba alipo MO kuna hela atakuwa nazo hata akugawie tu.
 
Hao ni among the 1%....Jee 99% ambayo ni wananchi 60mil wanayo hiyo hela?

Watu kadhaa ndani ya 60Mil population wanazo tu...ila ni 1% tu.

Ndio maana nchi kwa ujumla ni masikini kupindukia.

Hao 5000 sio cash ni thamani ya vijumba na vipande vya ardhi walivyo navyo,kwa Knight Frank hadi pale Uchaggani kwetu vile vishamba vina thamani ya bilioni.

Knight Frank anangalia kajumba na ki-ardhi tulivyogawiwa bure na serikali au kwa kuvamia vijijini na kutoa 500,000/= kwa hela 100!
Acheni dharau kwani nyumba haikutumika pesa ? Kama mtu asingejenga nyumba pesa zake zikawekwa benk isingeisabika? Hata hao matajili wa nje wanaisabiwa mpaka Mali wanazomiliki pamoja na nyumba na gari .sasa uwezi kudharau ukaita eti vunyumba vya pale mbezi
 
bro hata bill gate wanapigiwa hesabu za utajiri kwenye thamani walizo nazo,pesa cash ni kisanga kingine hicho.

ndio maana ni kosa kuamini kwamba alipo MO kuna hela atakuwa nazo hata akugawie tu.
Huko Kwa bill gates mbali labda cjui kama anajua GDP ya nchi yake inahesabika mpaka miundo mbinu eg: bara bara
 
labda anajua $60bln ziko BOT[emoji16][emoji16][emoji16]
Yani kuna watu wana akili mgando kweli au Kwa mfano yele madini ya laizer angenunua mtu binafsi akayaweka home halafu benk angebakiwa labda na dollars 5000 tu kwahio angekua haisabiki tena kama millionea maana benk ana dollars elfu 5000 tu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sio cash mkuu,ni vipande vya ardhi walivyo navyo na vinyumba vya type ya Mbezi Beach na Tegeta...

Sio cash definitely!

Hiyo cash 0.5Mil USD ni issue wewe!
Kwani net worth si wanaangalia mali zako zote mkuu? Sasa unakuwa na hela unashindwa kuwa na makazi, utasema una hela?
 
Baada ya Kugoogle hizo takwimu zinatoka source gani hasa?

Ni creadible source au wewe umeangalia picha au wingi wa search results tu kutoka Google?

Tunaposema millionaires sio 1mil ya TZS ni 1,000,000USD ambayo ni sawa na 2,500,000,000 TZS.

Nina wasiwas na chanzo hasa cha hizo takwimu,ni nani hasa alietoka hizo numbers?Anaaminika au?

Kama zimetoka serikalini,piga chini!
Unaishi dunia yetu hii hii?
 
Back
Top Bottom