Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Of course hakuna,kwa upande wako binafsi..ila sio kwa mimi binafsi!Hamna kitu kama hicho
Sio cash mkuu,ni vipande vya ardhi walivyo navyo na vinyumba vya type ya Mbezi Beach na Tegeta.Ha ha ha wamechukua watu wanaomiliki usd 0.5mil wewe mbona unapindisha?
Hao ni among the 1%....Jee 99% ambayo ni wananchi 60mil wanayo hiyo hela?bill mbili za madafu,hata platnumz,laizer himself wanazo.
Hao 5000 sio cash ni thamani ya vijumba na vipande vya ardhi walivyo navyo,kwa Knight Frank hadi pale Uchaggani kwetu vile vishamba vina thamani ya bilioni.ni kahela kadogo sana japo sijakashika,ila nakubali kuna individual zaidi ya 5000 tz wanazo hizi.
Mwache ateseke tu c anajitoa ufaham, ipo cku watakwambia uchumi wao upo sawa na Japan kwasababu thaman ya pesa zao ni sawa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Thaman ya pesa siyo kikwazo cha mtu kutokuwa multimillionaire au billionaire. Pamoja na kuwa Zimbabwe thamani ya pesa iko mochwari, lkn there are multimillionaire there.
Usipaniki broView attachment 1516173
The Wealth Report | Africa Supplement
bro hata bill gate wanapigiwa hesabu za utajiri kwenye thamani walizo nazo,pesa cash ni kisanga kingine hicho.Hao ni among the 1%....Jee 99% ambayo ni wananchi 60mil wanayo hiyo hela?
Watu kadhaa ndani ya 60Mil population wanazo tu...ila ni 1% tu.
Ndio maana nchi kwa ujumla ni masikini kupindukia.
Hao 5000 sio cash ni thamani ya vijumba na vipande vya ardhi walivyo navyo,kwa Knight Frank hadi pale Uchaggani kwetu vile vishamba vina thamani ya bilioni...
Knight Frank anangalia kajumba na ki-ardhi tulivyogawiwa bure na serikali au kwa kuvamia vijijini na kutoa 500,000/= kwa hela 100!
Acheni dharau kwani nyumba haikutumika pesa ? Kama mtu asingejenga nyumba pesa zake zikawekwa benk isingeisabika? Hata hao matajili wa nje wanaisabiwa mpaka Mali wanazomiliki pamoja na nyumba na gari .sasa uwezi kudharau ukaita eti vunyumba vya pale mbeziHao ni among the 1%....Jee 99% ambayo ni wananchi 60mil wanayo hiyo hela?
Watu kadhaa ndani ya 60Mil population wanazo tu...ila ni 1% tu.
Ndio maana nchi kwa ujumla ni masikini kupindukia.
Hao 5000 sio cash ni thamani ya vijumba na vipande vya ardhi walivyo navyo,kwa Knight Frank hadi pale Uchaggani kwetu vile vishamba vina thamani ya bilioni.
Knight Frank anangalia kajumba na ki-ardhi tulivyogawiwa bure na serikali au kwa kuvamia vijijini na kutoa 500,000/= kwa hela 100!
Huko Kwa bill gates mbali labda cjui kama anajua GDP ya nchi yake inahesabika mpaka miundo mbinu eg: bara barabro hata bill gate wanapigiwa hesabu za utajiri kwenye thamani walizo nazo,pesa cash ni kisanga kingine hicho.
ndio maana ni kosa kuamini kwamba alipo MO kuna hela atakuwa nazo hata akugawie tu.
labda anajua $60bln ziko BOT[emoji16][emoji16][emoji16]Huko Kwa bill gates mbali labda cjui kama anajua GDP ya nchi yake inahesabika mpaka miundo mbinu eg: bara bara
Yani kuna watu wana akili mgando kweli au Kwa mfano yele madini ya laizer angenunua mtu binafsi akayaweka home halafu benk angebakiwa labda na dollars 5000 tu kwahio angekua haisabiki tena kama millionea maana benk ana dollars elfu 5000 tu[emoji3][emoji3][emoji3]labda anajua $60bln ziko BOT[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani net worth si wanaangalia mali zako zote mkuu? Sasa unakuwa na hela unashindwa kuwa na makazi, utasema una hela?Sio cash mkuu,ni vipande vya ardhi walivyo navyo na vinyumba vya type ya Mbezi Beach na Tegeta...
Sio cash definitely!
Hiyo cash 0.5Mil USD ni issue wewe!
Unaishi dunia yetu hii hii?Baada ya Kugoogle hizo takwimu zinatoka source gani hasa?
Ni creadible source au wewe umeangalia picha au wingi wa search results tu kutoka Google?
Tunaposema millionaires sio 1mil ya TZS ni 1,000,000USD ambayo ni sawa na 2,500,000,000 TZS.
Nina wasiwas na chanzo hasa cha hizo takwimu,ni nani hasa alietoka hizo numbers?Anaaminika au?
Kama zimetoka serikalini,piga chini!
Eti Anadharau nyumba iliopo mbez beach au kunduchi beach anapajua vizur kwel huyu ? Maana kule kuna mijengo kama unauza mpaka inakaribia billion Kwa makadilio ya chini maana nyumba za kule kiwanja tu eka moja.Unaishi dunia yetu hii hii?
Weye hata hisibati hujui?, Ksh 500,000= Tsh 10,780,000Ksh 500,000=Tsh1000,000?
Milionea ni wengi sana TZ