Dadio
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 359
- 42
Habari wanajamii hasa jukwaa hili. Ninahitaji ushauri toka kwenu juu ya ujenzi hapa Dar es salaam. Nyumba ya vyumba vitatu seating rum, jiko, public toilet na katika vyumba vitatu kimoja kiwe master. Bujeti yangu ni million 20 nataka nianze jan mwakan. Hebu nipeni ushauri wa kutosha tafadhali. Pia naomba maoni yenu juu ya bajeti yangu ili niweze jenga nyumba na mimi. Eneo la ujenzi ni maeneo ya tegeta. Karibuni.