majuto mperungu
JF-Expert Member
- Jul 20, 2012
- 394
- 118
mhhh kweli wewe ni kaka mifano yako yote ni kutoka kwa wazungu LAKINI sishangai kwani ndio sababu za wala bata wa mujini hizo wanajitetea kwa sababu zisizo na kichwa wala mkia nyie ndo mkifa tunapata tabu kuwapeleka kwenu mjini mnatembelea magari ya gharama wakati kwenu hakuna hata NYUMBA ya nyasi:disapointed: