Millioni 20.

Millioni 20.

mhhh kweli wewe ni kaka mifano yako yote ni kutoka kwa wazungu LAKINI sishangai kwani ndio sababu za wala bata wa mujini hizo wanajitetea kwa sababu zisizo na kichwa wala mkia nyie ndo mkifa tunapata tabu kuwapeleka kwenu mjini mnatembelea magari ya gharama wakati kwenu hakuna hata NYUMBA ya nyasi:disapointed:
 
Tukifuata utumbo wote wa wazungu tutapotea,leo tutaona nyumba ni matope na kesho tutaona ushoga ni fashion,ata huyo mwandishi wa Rich dad Poor dad ana nyumba tena zaidi ya moja
nisaidie kuwaelimisha hawa kaka zangu wanaotaka kuishi kwenye nyumba za kupanga mpaka watupiwe virago nnje
 
Back
Top Bottom