Hata hivyo ana bahati sana anaanza kujenga akiwa na 20M cash,Mkuu 20m itakusogeza sana kama ukisimamia kwa karibu na kiwanja unacho kisha ukapiga paa la kawaida utafika mbali sana, watu wasikutishe wewe anza utaona kujenga nyumba sio kazi kubwa kama una muda kubanana na fundi
Hata hivyo ana bahati sana anaanza kujenga akiwa na 20M cash,
Hilo ni angalizo muhimu na lamaana sana mkuu maana ghalama za kubwa za ujenzi zisizo za lazima zinachangiwa na vitu vingi likiwemo hilo usimamizi.Inaweza kuwa disadvantage kwa upande mwingine asipokuwa makini na mafundi, vibarua na bei za vifaa kwa sababu itakuwa rahisi kwake kuchota na kulipa papo kwa hapo!
Mkuu wakati tunasubiri wataalam waje soma hii link itakusaidia https://www.jamiiforums.com/busines...75026-gharama-za-kujenga-nyumba-tanzania.htmlAsanteni sana kwa anayeweza kunipigia mahesabu ya rafu ningeshukuru sana..kiwanja kipo.
Asanteni sana kwa anayeweza kunipigia mahesabu ya rafu ningeshukuru sana..kiwanja kipo.
Kwa kifupi kama kiwanja kipo na kimekaa sehemu nzuri andaa milioni 3 kwa msingi imara kabisa.
Ukishamaliza msingi tayari ushaanza ujenzi. Utaona jinsi ujenzi unavyosogea. Jitahidi sana msingi wako upate mda wa kufanya curing.
Mimi napita kwani mimi ni mpangaji!
na gold yako bado unapanga ni aibu kwa kweli au ndo wale wala bata wa mujini afu mnaishi kwa mama
Kwani kupanga dhambi??we unadhani sote tukiwa na nyumba hapa mjini kutakalika??na hizi apartment watakaa nyani??Kweli wewe akili siyako ni kuazima!na gold yako bado unapanga ni aibu kwa kweli au ndo wale wala bata wa mujini afu mnaishi kwa mama
Sasa hawa tutawafanyeje na sisi ndo babu zao acha watutupie mawe sisi ni mti wenye matunda hauwezi kukwepa mawe!tunawakosea wanapokuja mjini najilaumu mwenyewe!
Kaka umemsikia huyu majuto mperungu
Kwani kupanga dhambi??we unadhani sote tukiwa na nyumba hapa mjini kutakalika??na hizi apartment watakaa nyani??Kweli wewe akili siyako ni kuazima!
Sasa hawa tutawafanyeje na sisi ndo babu zao acha watutupie mawe sisi ni mti wenye matunda hauwezi kukwepa mawe!tunawakosea wanapokuja mjini najilaumu mwenyewe!
Mzungu anashangaa kuona mtu anajenga nyumba mamilioni ni upuuzi kuweka pesa katika matope!Makampuni ndiyo yanayojenga wazungu wote wamepanga!Labda hajui kuwa MOHAMED DEWJI naye ni mpangaji wa dear old NHC.........Kuna member aliwahi ku suggest hapa kuwa "kujenga ni woga wa maisha".........He might be right you know!
Mzungu anashangaa kuona mtu anajenga nyumba mamilioni ni upuuzi kuweka pesa katika matope!Makampuni ndiyo yanayojenga wazungu wote wamepanga!