Scofied
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,456
- 1,673
wakuu heshima yenu
Binafsi napenda sana kunya maziwa ya ng'ombe freshi...kila siku nakunywa vikombe viwili kama robo lita hivi vya maziwa mara mbili yaani asubuhi na jioni,nimekuwa na tabia ya kuchanganywa na milo kila ninapo kunywa hayo maziwa! Je kuna madhara yeyote ya kutumia milo? Na je faida zake ni nin kiafya? Nawasilisha...