Yaani mpaka sasa kungekuwa na matamko mengi sana.Hao clouds tiviiiii ingekuwa ni mambo linahusu upinzani basi hyo 360 yao ingekuwa inajaa wageni kila kukicha Mara wa wizara ya elimu, Mara mambo ya ndani mradi tu wapigiwe simu na mkuu.
Ngoja mama ndalichako amsaidie kwanza, wakiwa tayari watakuja hewani.Makonda anaogopa nini kuonyesha vyeti kuondoa utata huu. Ukweli siku zote haupingiki
kilimanidom pande zipi niah.nipo pande za area D
Makonda amepewa ushauri kama kweli hatumii vyeti vya Daudi Bashite anaogopa nini kuweka CV zake hadharani? Tuungane mkono vita hii Uhakiki wa vyeti watu wengi sana walikosa kazi kwa nini kwa Makonda mamlaka husika wasichukie hatua?Naunga mkono hoja. Sisi wengine tulimkubali sana hadi tukampigia chapuo
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Na baada ya kuamsha vita ya madawa ya kulevya, tukampigia chapuo lingine
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze....
Paskali
Mtu yeyote anayepigana apate akitakacho ni mpiganaji, Mfanyabiashara halali na mfanya biashara haramu wote ni wapiganaji majambazi na wafanyakazi wenye vyeti feko wote ni wapiganaji wanachotofautiana ni mbinu wanazotumia
Wateuliwa ni wanasiasa au makada wa chama uhakiki wa vyeti kwa makada na wanasiasa badoMteuliwa anafanya kazi ya familia?
Hana shida ya kuweka cv kwa sab ahatarishi nafasi yake gwajima apeleke mamlaka husika zifanye uchunguzi kisha ataenda kuthibitisha mahakamaniMakonda amepewa ushauri kama kweli hatumii vyeti vya Daudi Bashite anaogopa nini kuweka CV zake hadharani? Tuungane mkono vita hii Uhakiki wa vyeti watu wengi sana walikosa kazi kwa nini kwa Makonda mamlaka husika wasichukie hatua?
Mhe. Paul Makonda, kama hii "CV yako" inayotembea mitandaoni ikisemekana imethibitishwa na Mchungaji Gwajima ni ya uongo, tunaomba uikanushe na uweke CV yako ya kweli ili kuweka heshima yako na nafasi yako, na ili sisi wakazi wako wa Dar es Salaam tuwe na imani na wewe bosi wetu. La sivyo kama ni kweli chukua uamuzi mgumu wa kujiuzulu nafasi yako ya ukuu wa mkoa.
Kama kutakuwa na ushahidi lknHii kitu itawavua "nguo" kuanzia "Rais" mpaka mawaziri husika.
Anajiamini ni msafi hana muda wa kumuonyesha mtu vyeti vyake zaidi ya mamlaka husika mwenye mashaka na vyeti vyake apeleke ushahidi kunakostahili hatua zichukuliweHIZI POROJO ZA MAMBO YA MAKONDA NA VYETI HUMU MTANDAONI ZIMETUCHOSHA. YA NINI KUZUNGUKA MBUYU, SI MKAE KIMYA ALIYETUHUMIWA AJISAFISHE, YA NINI KUWEKA MAJIBIZANO. MNATUCHELEWESHA SAFARI YETU YA VIWANDA, WACHA MAJUNGU TUPIGE KAZI, Kama haupo safi kaa pembeni sio kuendeleza majungu na kama upo safi umechafuliwa JISAFISHE ukikataa basi kaa na uchafu wako, kadri busara zako zinavyokuongoza
Sio yake mpk ithibitishweKazi juu ya Kazi.....
Ila kama hii si CV NI yake jamaa atakua kilaza sana.....
Ata hivyo kapambana sana......
Kweli kupata kuna Mungu.......
Wanamajibu yao mepesi sana, wanasema eti ni mambo ya mtandaoni, mara wanaomchafua ni wauza madawa ya kulevywa.
Hahahaaaaa, hapa hata wale wafunga kamba zake za viatu Clouds hawaliongelei hili, wala hawampigii simu mubashara atoe maelezo.
Sipati picha kama angekuwa mh. Mbowe ndiyo kanunua cheti, mikutano na waandishi wa habari ingekuwa imefanyika kama 6 mpaka sasa.
<<Mungu wa mbinguni hafanyiwi usanii>>.
What has his CV got to do na wakazi wa jiji wakati ni mchapa kazi na anadeliver?.Makonda amepewa ushauri kama kweli hatumii vyeti vya Daudi Bashite anaogopa nini kuweka CV zake hadharani? Tuungane mkono vita hii Uhakiki wa vyeti watu wengi sana walikosa kazi kwa nini kwa Makonda mamlaka husika wasichukie hatua?
Mhe. Paul Makonda, kama hii "CV yako" inayotembea mitandaoni ikisemekana imethibitishwa na Mchungaji Gwajima ni ya uongo, tunaomba uikanushe na uweke CV yako ya kweli ili kuweka heshima yako na nafasi yako, na ili sisi wakazi wako wa Dar es Salaam tuwe na imani na wewe bosi wetu. La sivyo kama ni kweli chukua uamuzi mgumu wa kujiuzulu nafasi yako ya ukuu wa mkoa.
Mkuu wa mkoa DSM ni Daud Albert Bashite au Paul C Makonda? Au ni woteWhat has his CV got to do na wakazi wa jiji wakati ni mchapa kazi na anadeliver?.
Je, wajua rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!
Paskali
Yaani ajiuzulu tu kirahisirahisi hivi? Halafu ionekane uteuzi wake ulikuwa na makosa ! Sasa mnataka kumnyoshea mkono nani aliyemteua ? Uteuzi wake haukuanzia kwenye ukuu wa mkoa. Ilitakiwa hoja hii iwe na nguvu kipindi kile ameteuliwa Kuwa mkuu wa wilaya. Hii hoja haina mashiko kipindi hiki.Huyo mtu hajaibuka tu kwenye ukuu wa mkoa yupo kwenye system kitambo. Kama ni kujiuzulu alitakiwa ajiuzuli akiwa ngazi za chini za uteuzi alizopitia. Sanasana sasa ni kumpandisha tu awe wa nchi nzima kwa majukumu zaidi.Mbona jambo lipo wazi kama hatumii vyeti vya mtu mwingine aonyeshe CV zake .
tunaomba uikanushe na uweke CV yako ya kweli ili kuweka heshima yako na nafasi yako, na ili sisi wakazi wako wa Dar es Salaam tuwe na imani na wewe bosi wetu. La sivyo kama ni kweli chukua uamuzi mgumu wa kujiuzulu nafasi yako ya ukuu wa mkoa.
Hakuwaacha wenzake wapumue pia...Mwacheni apumue haa!
What has his CV got to do na wakazi wa jiji wakati ni mchapa kazi na anadeliver?.
Je, wajua rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!
Paskali
kuwajibika ni heshima zaidi kuwa kuwajibishwa ushauri tuu amepewaYaani ajiuzulu tu kirahisirahisi hivi? Halafu ionekane uteuzi wake ulikuwa na makosa ! Sasa mnataka kumnyoshea mkono nani aliyemteua ? Uteuzi wake haukuanzia kwenye ukuu wa mkoa. Ilitakiwa hoja hii iwe na nguvu kipindi kile ameteuliwa Kuwa mkuu wa wilaya. Hii hoja haina mashiko kipindi hiki.Huyo mtu hajaibuka tu kwenye ukuu wa mkoa yupo kwenye system kitambo. Kama ni kujiuzulu alitakiwa ajiuzuli akiwa ngazi za chini za uteuzi alizopitia. Sanasana sasa ni kumpandisha tu awe wa nchi nzima kwa majukumu zaidi.