Milton Mahanga: RC Makonda jisafishe na kashfa hii au jiuzulu

Kiiungwana RC ajiuzulu ili kulinda heshima ya Baba yake.

Asitishe press, atume tu barua kwa media.
Yaani Mkuu hiyo team bomba sana. Tungepata [emoji886],salmons,vibua vya kutosha soko lote la ferry lingefurika.

tunalalamika huku wataalamu tunao.
 
Kupigana kihalali siyo kubaya, yeye kafanya fujo kutumia vyeti vya watu. Angapigana kwa jina la bashite hapo ndiyo kuna fundisho. Ila kama ni football yeye kacheza handball. Unataka kukimbia na huna break? What do u expect?
 
Hapa wanakaa kimya wee msidhani wao wajinga.. Wako jikoni na huenda vikatengenezwa vyeti halali vikahalalishwa afu wakaitisha press conference wakasema haya vyeti hivi hapa tena vikaguliwe na idara husika.. Na hizo idara nazo zikasema ni kweli vyeti ni halali.. Kisha waseme sasa nyie walanguzi wa ngada tafuteni kiki nyingine... Jamani wao ndo wameshik mpini.. Akiaibika Daudi Banani sijui huko unadhani itakuwa salama kwao!!? Hawawezi na hii kwao ni ngoma ndogo sana.. Ni sawa tu na kutaka kumfumania mkeo na houseboy walioko ndani wakt we hauna means yeyote ya kuingia ndani ya fensi mpka hao walioko ndani yaani wagoni wako wakufungulie..
 
Mtoa mada kafanye uchunguzi, sie wazamani tunavyo vyeti vyetu vya zero aka Bashite..
 
Hao clouds tiviiiii ingekuwa ni mambo linahusu upinzani basi hyo 360 yao ingekuwa inajaa wageni kila kukicha Mara wa wizara ya elimu, Mara mambo ya ndani mradi tu wapigiwe simu na mkuu.
 
Nahisi hii nchi inavyoendeshwa kuna siku tutakuja kupata rais amefoji vyeti ....
 
Huyu Makonda atawatoa roho mwaka huu
Roho itatoka ya kwake Maana ukishakuwa mchungaji hatutegemei ufanye vitendo vya kuvunja amri za Mungu Na ukiwa kiongozi wa kupigiwa mfano wa kuisimamia sheria bila kuangalia hadhi ya mtu (Sumaye Na shamba lake la mwabepande,Manji Na utajiri wake) tunategemea makonda asingefanya hayo anayotuhumiwa maana tuliamini Si kiongoz anayehakikisha sheria zinafuatwa bali Na yeye mwenyewe alikuwa Na anazifuata ( au vyeti vyake feki ni moja ya makaburi ambayo mkuu alisema hatoweza kuyafukua) lakini hapo hapo akaweza kuyafukua makaburi ya wanafunzi wa Dodoma university Na sasa makaburi 8000 ya watoto wa kimaskini yapo njiani kufukiliwa nchi nzima kwenye vyuo vya elimu ya huu.
 
Komaa kaka till the last drop... Wafuasi wenye utii kama wewe ni adimu sana hapa nchini na ni watu muhimu sana kwa maslahi ya vyama vya siasa, sio wa kuyumbishwa ovyo ovyo hata kama ni saa nane mchana mkuu wako akisema ni usiku we unaamini na kuanza kuwaaminisha watu mpaka hao watu waanze kuamini kuwa kweli ni usiku ila macho yao ndo yanawadanganya.. Big up sana mkuu
 
Mleta mada karudie tena kusikiliza ile clip ujue amezungumzaje kwenye suala la vyeti. Sio unakuja humu kuruka makidamakida.
Bashite. A.K.A Unguided missile.
 
Baadhi ya sifa za kuwa mtumishi wa Mungu.
-Kuwa na busara.
-Weka hakiba ya Maneno.
-Usiwe mropokaji.
-Usiumie madhabahu kwa mambo binafsi.
Makonda aoneshe cheti cha form four alipata ngapi?

Kilikuwa na jina gani?
 
Sasa. Lakini unajua maana ya kuzunguka mbuyu au ulitaka sentensi zako ziwe ndefu kama garimoshi la Tanga? [emoji120] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Makonda endelea hivyohivyo My class mate, napenda hili povu linavyowatoka, Jiooni ndio uwalete uthibitisho. Utakua umewapata wengi.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…