Milunda inafaa kuezekea?

Milunda inafaa kuezekea?

Kuna jilani yangu hapa Kaezeka nayo ni mwaka wa 9. Kitu konki Hatare
 
Hiyo ilikuwa zamani, mti unakomaa unakaribia kuwa kama chuma!!kwa sasa utaipata wapi!!miti ya aina hiyo??
Mti uliokomaa ukawa kama chuma unaweza katwa ukaitwa mlunda kweli? Kifupi milunda ni miti inayakatwa kabla ya kufikia kuitwa gogo na likapasuliwa mbao. Kwa lugha nyingine milunda ni miti michanga, sasa hiyo milunda ya kukomaa na kuwa kama chuma ni milunda ya aina gani hiyo. Nadhani umeyumba hujaelewa milunda ni nini.

Kwa kumsaidia mleta mada hito miti unaezekea na unasahau tofauti yake na mbao ni kwamba mbao inapasuliwa kwa vipimo na milunda haina vipimo sahihi. Unguja asilimia tisini ya nyumba zimepauliwa kwa milunda inayotokana na miti aina ya mivinje na mikaratusi.
 
Habari,

Naomba kuuwauliza ndugu zangu, ninategemea kuezeka kakibanda kangu sina pesa ya kutosha kuweza kununua mbao treated hivyo nataka niezekee milunda naombeni ushauri inafaa kwa ustahimilivu km wa mbao treated?
Kama unaipata kwa bei nzuri wewe paua nyumba hakuna shida kabisa, Unguja huku asilimia 90 ya nyumba zinapauliwa kwa milunda ile mirefu. Mahoteli yote yaliyoko ufukweni wamepaua kwa milunda na inabaki kubadilisha makuti peke yake. Ni wewe tu
 
Mti uliokomaa ukawa kama chuma unaweza katwa ukaitwa mlunda kweli? kifupi milunda ni miti inayakatwa kabla ya kufikia kuitwa gogo na likapasuliwa mbao. Kwa lugha nyingine milunda ni miti michanga, sasa hiyo milunda ya kukomaa na kuwa kama chuma ni milunda ya aina gani hiyo. Nadhani umeyumba hujaelewa milunda ni nini.
Kwa kumsaidia mleta mada hito miti unaezekea na unasahau tofauti yake na mbao ni kwamba mbao inapa
Mti uliokomaa ukawa kama chuma unaweza katwa ukaitwa mlunda kweli? kifupi milunda ni miti inayakatwa kabla ya kufikia kuitwa gogo na likapasuliwa mbao. Kwa lugha nyingine milunda ni miti michanga, sasa hiyo milunda ya kukomaa na kuwa kama chuma ni milunda ya aina gani hiyo. Nadhani umeyumba hujaelewa milunda ni nini.
Kwa kumsaidia mleta mada hito miti unaezekea na unasahau tofauti yake na mbao ni kwamba mbao inapasuliwa kwa vipimo na milunda haina vipimo sahihi. Unguja asilimia tisini ya nyumba zimepauliwa kwa milunda inayotokana na miti aina ya mivinje na mikaratusi.
Ina maana nikisema huyo jamaa ni mweupe anakaribia kuwa kama albino, tayari ni albino? Elewa kiswahili, kukaribia kuwa kama chuma, sio kama tayari ni chuma!! Yaani niishi Dar, nisijue milunda ni nini?? Kifupi mbao imara ya kuezekea ni zile zilizotiwa dawa, tena kiwandani sio zile wanazopaka Buguruni kwa kuloweka tu, inshu sio Zanzibar, eti wanaezekea, hai justify kuwa ni bora, mbona hata minazi kuna watu Pwani wanaezekea?? wa mtu anayethamini nyumba yake kama ameijenga kwa thamani kubwa lazima atumie mbao zenye dawa, kwani bila kufanya hivyo mbele ya safari ataingia gharama kubwa sana!!
 
Mti uliokomaa ukawa kama chuma unaweza katwa ukaitwa mlunda kweli? kifupi milunda ni miti inayakatwa kabla ya kufikia kuitwa gogo na likapasuliwa mbao. Kwa lugha nyingine milunda ni miti michanga, sasa hiyo milunda ya kukomaa na kuwa kama chuma ni milunda ya aina gani hiyo. Nadhani umeyumba hujaelewa milunda ni nini.
Kwa kumsaidia mleta mada hito miti unaezekea na unasahau tofauti yake na mbao ni kwamba mbao inapasuliwa kwa vipimo na milunda haina vipimo sahihi. Unguja asilimia tisini ya nyumba zimepauliwa kwa milunda inayotokana na miti aina ya mivinje na mikaratusi.
KWA hiyo inafaa mkuu?
 
Kama unaipata kwa bei nzuri wewe paua nyumba hakuna shida kabisa, Unguja huku asilimia 90 ya nyumba zinapauliwa kwa milunda ile mirefu. Mahoteli yote yaliyoko ufukweni wapeaua kwa milunda na inabaki kubadilisha makuti peke yake. Ni wewe tu
Asante mkuu
 
Ina maana nikisema huyo jamaa ni mweupe anakaribia kuwa kama albino, tayari ni albino?elewa kiswahili, kukaribia kuwa kama chuma, sio kama tayari ni chuma!!yaani niishi dar, nisijue milunda ni nini??kifupi mbao imala ya kuezekea ni zile zilizotiwa dawa, tena kiwandani sio zile wanazopaka buguruni kwa kuloweka tu, inshu sio zanzibar, eti wanaezekea, hai justify kuwa ni bora, mbona hata minazi kuna watu pwani wanaezekea??kwa mtu anayethamini nyumba yake kama ameijenga kwa thamani kubwa lazima atumie mbao zenye dawa, kwani bila kufanya hivyo mbele ya safari ataingia gharama kubwa sana!!
Nadhani bado unapingana na kauli yako, ok fine hebu nambie hiyo milunda inayokamaa na kukaribia kuwa chuma ilitumika miaka ipi na ilikuwa ni ya umri gani? Mleta mada hakuuliza kuhusu mbao za dawa ndo maana mnafeli mitiahani kila siku. BADO hakuna mti utakao komaa na ukakaribia kuwa chuma bado ukaitwa mlunda lazima jina litabadilika, ama huitwe nguzo au gogo. Wewe unaelewa kiswahili hebu kasome tena mlunda ni nini. Yawezekana ukawa mweupe kichwani kukaribia kuwa albino.
 
Back
Top Bottom