PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Una hela ya kufunga gypsum na pvc ndio ukose hela ya kununua mbao uezeke mjengo ukae poa unaenda nunua mirunda? Atayefanya hivyo atashangaza.Ukishafunga gypsum na pvc huko nje nani anaona. Na hata ikioneknana kuna tatizo kwani?
Hivi unajua kuwa kuna mirunda trited mizuri tu na bei poa kuliko hata hizo mbao za elfu saba saba?Una hela ya kufunga gypsum na pvc ndio ukose hela ya kununua mbao uezeke mjengo ukae poa unaenda nunua mirunda?atayefanya hivyo atashangaza.
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisa usemayoHivi unajua kuwa kuna mirunda trited mizuri tu na bei poa kuliko hata hizo mbao za elfu saba saba?
Kiongozi dawa ya mchwa huwa hazitumiki kwenye mrunda?Mchwa utakapoanza kutafuna hiyo mirunda, ndio hao watu watajua!!acha ajifiche tu, ila yeye mwenyewe ndio atawaambia hao watu.
Salimia waganga hapo MlingotiniShukrani sana mkuu nami nipo around maeneo ya bagamoyo
Au siyoSalimia waganga hapo Mlingotini
Mti uliokomaa ukawa kama chuma unaweza katwa ukaitwa mlunda kweli? Kifupi milunda ni miti inayakatwa kabla ya kufikia kuitwa gogo na likapasuliwa mbao. Kwa lugha nyingine milunda ni miti michanga, sasa hiyo milunda ya kukomaa na kuwa kama chuma ni milunda ya aina gani hiyo. Nadhani umeyumba hujaelewa milunda ni nini.Hiyo ilikuwa zamani, mti unakomaa unakaribia kuwa kama chuma!!kwa sasa utaipata wapi!!miti ya aina hiyo??
Kama unaipata kwa bei nzuri wewe paua nyumba hakuna shida kabisa, Unguja huku asilimia 90 ya nyumba zinapauliwa kwa milunda ile mirefu. Mahoteli yote yaliyoko ufukweni wamepaua kwa milunda na inabaki kubadilisha makuti peke yake. Ni wewe tuHabari,
Naomba kuuwauliza ndugu zangu, ninategemea kuezeka kakibanda kangu sina pesa ya kutosha kuweza kununua mbao treated hivyo nataka niezekee milunda naombeni ushauri inafaa kwa ustahimilivu km wa mbao treated?
Mti uliokomaa ukawa kama chuma unaweza katwa ukaitwa mlunda kweli? kifupi milunda ni miti inayakatwa kabla ya kufikia kuitwa gogo na likapasuliwa mbao. Kwa lugha nyingine milunda ni miti michanga, sasa hiyo milunda ya kukomaa na kuwa kama chuma ni milunda ya aina gani hiyo. Nadhani umeyumba hujaelewa milunda ni nini.
Kwa kumsaidia mleta mada hito miti unaezekea na unasahau tofauti yake na mbao ni kwamba mbao inapa
Ina maana nikisema huyo jamaa ni mweupe anakaribia kuwa kama albino, tayari ni albino? Elewa kiswahili, kukaribia kuwa kama chuma, sio kama tayari ni chuma!! Yaani niishi Dar, nisijue milunda ni nini?? Kifupi mbao imara ya kuezekea ni zile zilizotiwa dawa, tena kiwandani sio zile wanazopaka Buguruni kwa kuloweka tu, inshu sio Zanzibar, eti wanaezekea, hai justify kuwa ni bora, mbona hata minazi kuna watu Pwani wanaezekea?? wa mtu anayethamini nyumba yake kama ameijenga kwa thamani kubwa lazima atumie mbao zenye dawa, kwani bila kufanya hivyo mbele ya safari ataingia gharama kubwa sana!!Mti uliokomaa ukawa kama chuma unaweza katwa ukaitwa mlunda kweli? kifupi milunda ni miti inayakatwa kabla ya kufikia kuitwa gogo na likapasuliwa mbao. Kwa lugha nyingine milunda ni miti michanga, sasa hiyo milunda ya kukomaa na kuwa kama chuma ni milunda ya aina gani hiyo. Nadhani umeyumba hujaelewa milunda ni nini.
Kwa kumsaidia mleta mada hito miti unaezekea na unasahau tofauti yake na mbao ni kwamba mbao inapasuliwa kwa vipimo na milunda haina vipimo sahihi. Unguja asilimia tisini ya nyumba zimepauliwa kwa milunda inayotokana na miti aina ya mivinje na mikaratusi.
KWA hiyo inafaa mkuu?Mti uliokomaa ukawa kama chuma unaweza katwa ukaitwa mlunda kweli? kifupi milunda ni miti inayakatwa kabla ya kufikia kuitwa gogo na likapasuliwa mbao. Kwa lugha nyingine milunda ni miti michanga, sasa hiyo milunda ya kukomaa na kuwa kama chuma ni milunda ya aina gani hiyo. Nadhani umeyumba hujaelewa milunda ni nini.
Kwa kumsaidia mleta mada hito miti unaezekea na unasahau tofauti yake na mbao ni kwamba mbao inapasuliwa kwa vipimo na milunda haina vipimo sahihi. Unguja asilimia tisini ya nyumba zimepauliwa kwa milunda inayotokana na miti aina ya mivinje na mikaratusi.
Asante mkuuKama unaipata kwa bei nzuri wewe paua nyumba hakuna shida kabisa, Unguja huku asilimia 90 ya nyumba zinapauliwa kwa milunda ile mirefu. Mahoteli yote yaliyoko ufukweni wapeaua kwa milunda na inabaki kubadilisha makuti peke yake. Ni wewe tu
Nadhani bado unapingana na kauli yako, ok fine hebu nambie hiyo milunda inayokamaa na kukaribia kuwa chuma ilitumika miaka ipi na ilikuwa ni ya umri gani? Mleta mada hakuuliza kuhusu mbao za dawa ndo maana mnafeli mitiahani kila siku. BADO hakuna mti utakao komaa na ukakaribia kuwa chuma bado ukaitwa mlunda lazima jina litabadilika, ama huitwe nguzo au gogo. Wewe unaelewa kiswahili hebu kasome tena mlunda ni nini. Yawezekana ukawa mweupe kichwani kukaribia kuwa albino.Ina maana nikisema huyo jamaa ni mweupe anakaribia kuwa kama albino, tayari ni albino?elewa kiswahili, kukaribia kuwa kama chuma, sio kama tayari ni chuma!!yaani niishi dar, nisijue milunda ni nini??kifupi mbao imala ya kuezekea ni zile zilizotiwa dawa, tena kiwandani sio zile wanazopaka buguruni kwa kuloweka tu, inshu sio zanzibar, eti wanaezekea, hai justify kuwa ni bora, mbona hata minazi kuna watu pwani wanaezekea??kwa mtu anayethamini nyumba yake kama ameijenga kwa thamani kubwa lazima atumie mbao zenye dawa, kwani bila kufanya hivyo mbele ya safari ataingia gharama kubwa sana!!