Mimba haishiki tena

Mimba haishiki tena

Bi nyakomba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
385
Reaction score
104
habari wakuu.
Mimi mama wa miaka 35. Nina mtoto mmoja wa miaka 8.nilibahatika kupata mtoto mwaka Jana. mwezi wa nne mwaka huu Mwanangu mpendwa akatangulia mbele za haki akiwa na miezi 8,RIP my son.

ndugu zangu baada ya kufiwa nikashika mimba ilipofika miezi miwili na nusu nikapata miscarriage. kuanzia hapo mimba hazishiki tena. hata nikikutana na mumewangu siku zote za hatari.

naombeni mnisaidie shida iko wapi. wataalam nisaidieni jamani.
 
Unachohitaji wewe ni kukutana na njemba kama mimi aka genetic jackhammer and I'll knock you up in one round and give you the best five minutes of your life.
 
Asante sana kama ushauri wako umetoka moyoni. ila kumbuka shida humpata kila binadamu
 
Unachohitaji wewe ni kukutana na njemba kama mimi aka genetic jackhammer and I'll knock you up in one round and give you the best five minutes of your life.
I see the product of US baby........made in africa and assembled in USA.
 
USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
 
Unachohitaji wewe ni kukutana na njemba kama mimi aka genetic jackhammer and I'll knock you up in one round and give you the best five minutes of your life.

Nkoyi mbona unajishushia hadhi sikuhizi? Sikutegemea kama unaweza kutoa jibu kama hili hasa kwenye mambo yanayogusa afya ya mtu. Not fair
 
habari wakuu.
Mimi mama wa miaka 35. Nina mtoto mmoja wa miaka 8.nilibahatika kupata mtoto mwaka Jana. mwezi wa nne mwaka huu Mwanangu mpendwa akatangulia mbele za haki akiwa na miezi 8,RIP my son.

ndugu zangu baada ya kufiwa nikashika mimba ilipofika miezi miwili na nusu nikapata miscarriage. kuanzia hapo mimba hazishiki tena. hata nikikutana na mumewangu siku zote za hatari.

naombeni mnisaidie shida iko wapi. wataalam nisaidieni jamani.

Best pole sana kwa matatizo... Mungu akupe nguvu ya kuvumilia.

BTW ilikuwaje ukaamua kuchukua maamuzi magumu bila kunishirikisha?? Nilikukosea nini nitubu??

Baada ya kusema hayo, mshukuru sana Mungu angalau una huyo mtoto mmoja. Kuna wengine hawajawahi hata kupata dalili ya ujauzito.

Tushukuru kwa kila jambo.

Bunju tumekumisi
 
pole sana kwa hayo yanayokusibu ila shukuru kwa kuwa una huyo mmoja andeleea na maombi ipo cku mungu atasikia kilio chako na atakupatia mwingine ukimtegemea mungu hata kuacha kabisa
 
Kuna ishu za Pre-mature sperms...! Kama mmeo ana hilo tatizo jaribu kwa kuchepuka hebu ....

Mtafute Mdogo Wangu anaitwa Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Best pole sana kwa matatizo... Mungu akupe nguvu ya kuvumilia.

BTW ilikuwaje ukaamua kuchukua maamuzi magumu bila kunishirikisha?? Nilikukosea nini nitubu??

Baada ya kusema hayo, mshukuru sana Mungu angalau una huyo mtoto mmoja. Kuna wengine hawajawahi hata kupata dalili ya ujauzito.

Tushukuru kwa kila jambo.

Bunju tumekumisi[/QUOTE
Aspirin ndugu yangu, acha tu. nisamehe kwa kuwa kimya hats password nilisahau nimeikumbuka majuzi2 tu. nilipatwa matatizo best. up to now am still struggling kuwa sawa. nikija ntakushtua
 
Unachohitaji wewe ni kukutana na njemba kama mimi aka genetic jackhammer and I'll knock you up in one round and give you the best five minutes of your life.

Mkuu kama nimemsoma vizuri Bi nyakomba, tatizo lake sio kushika mimba, tayari ana mtoto mkubwa na alishapata mwingine ambae hatunae tena, akashika ujauzito ukaharibika. Kwa maelezo hayo inapelekea tusukumwe kuamini kwamba mumewe hana tatizo na hata wewe ukija umeshiba matobolwa (joke) haitasaidia kitu.

Tuwasubiri wataalam waje na ushauri wao.
 
Last edited by a moderator:
Aspirin Anko wako alipata malaria akatibiwa. ila walimu ova dozi. alichoma sindano mchana usiku akafariki.@ Asprin
 
pole sana kwa hayo yanayokusibu ila shukuru kwa kuwa una huyo mmoja andeleea na maombi ipo cku mungu atasikia kilio chako na atakupatia mwingine ukimtegemea mungu hata kuacha kabisa

Asante sana kwa ushauri mzr mkuu Msaranga
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kama nimemsoma vizuri Bi nyakomba, tatizo lake sio kushika mimba, tayari ana mtoto mkubwa na alishapata mwingine ambae hatunae tena, akashika ujauzito ukaharibika. Kwa maelezo hayo inapelekea tusukumwe kuamini kwamba mumewe hana tatizo na hata wewe ukija umeshiba matobolwa (joke) haitasaidia kitu.

Tuwasubiri wataalam waje na ushauri wao.

Asante mkuu umenisoma vyema Samaritan
 
Last edited by a moderator:
sijawahi kuugua mkuu.

Pole sana, sio kila anaeumwa anajua tatizo lake au anajua kwamba anaumwa. Japo lengo lako lilikua kujibu kuhusu ugonjwa wa zinaa kama swali lilivyoulizwa.

Huenda ile hali ya kumpoteza mwanao kipenzi imeathiri maeneo ya mwili na hili tukio la mimba kuharibika ndio vimeongeza zaidi wasiwasi vitu ambavyo huenda kitaalam vikawa vimesababisha hii hali.

Naomba niulize tena, wakati wa kusubiria huyo mtoto wa pili, ulikua ukitumia njia zauzazi wa mpango zenye kuhusisha madawa?

MziziMkavu Please, pita tena huku mkuu.
 
Mkuu asante sana kwa kuendelea kuguswa na halo niliyonayo.

1. sijawahi kutumia vidonge au sindano ktk uzazi wa mpango. Mimi hutumia kalenda.

2. Inawezekana kabisa nimeathirika na hali ya kuondokewa na mwanangu, maana kunakioindi nilitaka kupata matatizo ya moyo, baada ya kufiwa,hosptl wakanishauri kupunguza mawazo. mwili ulikua unaishiwa nguvu moyo unaenda mbio muda wote. nilizidiwa mawazo bila kujua kuwa Nina ujauzito. wataalam wakanambia stress ndo ilisababisha mimba kutoka.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana dada yangu endelea kumuomba mumgu ipo cku mambo yatakaa sawa na mjitahidi kuona docta kwa pamoja ww na mmeo mnaweza mkapata ushauri zaidi.
 
Asante mdogo wangu. naamini Mungu Ni mwaminifu. huruhusu mazuri na mabaya yatupate. naamini anasababu ya kuruhusu hili linipate Mkaladi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom