Bi nyakomba
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 385
- 104
habari wakuu.
Mimi mama wa miaka 35. Nina mtoto mmoja wa miaka 8.nilibahatika kupata mtoto mwaka Jana. mwezi wa nne mwaka huu Mwanangu mpendwa akatangulia mbele za haki akiwa na miezi 8,RIP my son.
ndugu zangu baada ya kufiwa nikashika mimba ilipofika miezi miwili na nusu nikapata miscarriage. kuanzia hapo mimba hazishiki tena. hata nikikutana na mumewangu siku zote za hatari.
naombeni mnisaidie shida iko wapi. wataalam nisaidieni jamani.