Bi nyakomba
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 385
- 104
Asante sana kama ushauri wako umetoka moyoni. ila kumbuka shida humpata kila binadamuUnachohitaji wewe ni kukutana na njemba kama mimi aka genetic jackhammer and I'll knock you up in one round and give you the best five minutes of your life.
I see the product of US baby........made in africa and assembled in USA.Unachohitaji wewe ni kukutana na njemba kama mimi aka genetic jackhammer and I'll knock you up in one round and give you the best five minutes of your life.
Asante sana kama ushauri wako umetoka moyoni. ila kumbuka shida humpata kila binadamu
I see the product of US baby........made in africa and assembled in USA.
Unachohitaji wewe ni kukutana na njemba kama mimi aka genetic jackhammer and I'll knock you up in one round and give you the best five minutes of your life.
habari wakuu.
Mimi mama wa miaka 35. Nina mtoto mmoja wa miaka 8.nilibahatika kupata mtoto mwaka Jana. mwezi wa nne mwaka huu Mwanangu mpendwa akatangulia mbele za haki akiwa na miezi 8,RIP my son.
ndugu zangu baada ya kufiwa nikashika mimba ilipofika miezi miwili na nusu nikapata miscarriage. kuanzia hapo mimba hazishiki tena. hata nikikutana na mumewangu siku zote za hatari.
naombeni mnisaidie shida iko wapi. wataalam nisaidieni jamani.

Best pole sana kwa matatizo... Mungu akupe nguvu ya kuvumilia.
BTW ilikuwaje ukaamua kuchukua maamuzi magumu bila kunishirikisha?? Nilikukosea nini nitubu??
Baada ya kusema hayo, mshukuru sana Mungu angalau una huyo mtoto mmoja. Kuna wengine hawajawahi hata kupata dalili ya ujauzito.
Tushukuru kwa kila jambo.
Bunju tumekumisi[/QUOTE
Aspirin ndugu yangu, acha tu. nisamehe kwa kuwa kimya hats password nilisahau nimeikumbuka majuzi2 tu. nilipatwa matatizo best. up to now am still struggling kuwa sawa. nikija ntakushtua
Unachohitaji wewe ni kukutana na njemba kama mimi aka genetic jackhammer and I'll knock you up in one round and give you the best five minutes of your life.
Mkuu kama nimemsoma vizuri Bi nyakomba, tatizo lake sio kushika mimba, tayari ana mtoto mkubwa na alishapata mwingine ambae hatunae tena, akashika ujauzito ukaharibika. Kwa maelezo hayo inapelekea tusukumwe kuamini kwamba mumewe hana tatizo na hata wewe ukija umeshiba matobolwa (joke) haitasaidia kitu.
Tuwasubiri wataalam waje na ushauri wao.
sijawahi kuugua mkuu.
Kiyaalam Nikuulize kwanza uyo mtt wa miaka minane mkubwa ni wa mwanaume uliyenae saiv au tofauti?
Pole sana, sio kila anaeumwa anajua tatizo lake au anajua kwamba anaumwa. Japo lengo lako lilikua kujibu kuhusu ugonjwa wa zinaa kama swali lilivyoulizwa.
Huenda ile hali ya kumpoteza mwanao kipenzi imeathiri maeneo ya mwili na hili tukio la mimba kuharibika ndio vimeongeza zaidi wasiwasi vitu ambavyo huenda kitaalam vikawa vimesababisha hii hali.
Naomba niulize tena, wakati wa kusubiria huyo mtoto wa pili, ulikua ukitumia njia zauzazi wa mpango zenye kuhusisha madawa?
MziziMkavu Please, pita tena huku mkuu.
Pole sana dada yangu endelea kumuomba mumgu ipo cku mambo yatakaa sawa na mjitahidi kuona docta kwa pamoja ww na mmeo mnaweza mkapata ushauri zaidi.