Aspirin Anko wako alipata malaria akatibiwa. ila walimu ova dozi. alichoma sindano mchana usiku akafariki.@ Asprin
Mkuu asante sana kwa kuendelea kuguswa na halo niliyonayo.
1. sijawahi kutumia vidonge au sindano ktk uzazi wa mpango. Mimi hutumia kalenda.
2. Inawezekana kabisa nimeathirika na hali ya kuondokewa na mwanangu, maana kunakioindi nilitaka kupata matatizo ya moyo, baada ya kufiwa,hosptl wakanishauri kupunguza mawazo. mwili ulikua unaishiwa nguvu moyo unaenda mbio muda wote. nilizidiwa mawazo bila kujua kuwa Nina ujauzito. wataalam wakanambia stress ndo ilisababisha mimba kutoka.

Hadi hapo uko karibu kabisa na suluhisho, wajuvi wanasema kujua tatizo ni nusu ya kulishinda. Kwa sasa, nafikiri jambo kubwa na la msingi lingekua kujali kwanza afya yako, kwa sababu hiyo hali ikiendelea tatizo litakua sio kwenye kutafuta mtoto tena bali kuahangaikia afya yako jambo ambalo huenda likazalisha tatizo lingine tena kwa shemeji yetu na wanandugu wengine. Nna imani utakaa sawa kwa Rehema na Neema za Mungu na utapata haja ya moyo wako.
Kwa sasa ningekushauri ukaachana kabisa na kuwaza mambo ya umri kwenda na kupata mtoto mwingine. Hiyo itakusaidia kuupa mwili mapumziko na utulivu wa mawazo. Jiweke karibu na Mungu kupata faraja isiyopatikana popote isipokua kwake, pata ushauri kwa wataalam wa mambo ya saikolojia na uwe na moyo mkuu!
Mkuu asante sana kwa kuendelea kuguswa na halo niliyonayo.
1. sijawahi kutumia vidonge au sindano ktk uzazi wa mpango. Mimi hutumia kalenda.
2. Inawezekana kabisa nimeathirika na hali ya kuondokewa na mwanangu, maana kunakioindi nilitaka kupata matatizo ya moyo, baada ya kufiwa,hosptl wakanishauri kupunguza mawazo. mwili ulikua unaishiwa nguvu moyo unaenda mbio muda wote. nilizidiwa mawazo bila kujua kuwa Nina ujauzito. wataalam wakanambia stress ndo ilisababisha mimba kutoka.
Kiyaalam Nikuulize kwanza uyo mtt wa miaka minane mkubwa ni wa mwanaume uliyenae saiv au tofauti?
Khantwe, ungelitafakari kwa kina hili swali la jojoe35 ungeelewa mantiki yake. Take time and think about it.Usiniambie mwanaume anaweza kuwa sababu ya miscarriages
Unachohitaji wewe ni kukutana na njemba kama mimi aka genetic jackhammer and I'll knock you up in one round and give you the best five minutes of your life.
Khantwe, ungelitafakari kwa kina hili swali la jojoe35 ungeelewa mantiki yake. Take time and think about it.
Imagine wewe unaishi na mwanaume, ukiwa na mtoto tayari kwa mwanaume mweingine. Na mmeo ana ndoto kubwa sana ya kupata mtoto. na wewe ukaijua kiu yake. Mkapata mtoto bahati mbaya akafariki........... ukamwona mmeo alivyoumia moyo.... anavyosononeka.... anavyotoa michozi.... then ukapata mimba ikaharibika.... akaumia moyo tena.... Then mimba ikagoma kukamata..... Think Khantwe.... think!!!
Ngoja nimwite wife wangu mshauri nasaha BADILI TABIA aje amfanyie maombi huyu mtumishi
Usiniambie mwanaume anaweza kuwa sababu ya miscarriages[/QUOTE
kama mtoto wa kwanza sie baba ake huyo na amezaa mtoto wa pili na mume aliyenaye sasa inaweza ikawa ni mambo ya RH factor....

Okey sawa mkuu nimekupata vema sana