Khantwe, ungelitafakari kwa kina hili swali la
jojoe35 ungeelewa mantiki yake. Take time and think about it.
Imagine wewe unaishi na mwanaume, ukiwa na mtoto tayari kwa mwanaume mweingine. Na mmeo ana ndoto kubwa sana ya kupata mtoto. na wewe ukaijua kiu yake. Mkapata mtoto bahati mbaya akafariki........... ukamwona mmeo alivyoumia moyo.... anavyosononeka.... anavyotoa michozi.... then ukapata mimba ikaharibika.... akaumia moyo tena.... Then mimba ikagoma kukamata..... Think Khantwe.... think!!!
Ngoja nimwite wife wangu mshauri nasaha
BADILI TABIA aje amfanyie maombi huyu mtumishi