Mimba haishiki tena

Mimba haishiki tena

mwende hosp mkafanye uchunguzi makini sana na kama hamna tatizo uwenda kilicho uwa mtoto ndo kinacho uwa na kuzuia mimba nenda uombewe kuna mapepo yanayofanya kazi iyo
 
Namshauri mleta uzi akafanye vipimo vya hormones...especially hizo za ujauzito........mara nyingi hupelekea ujuzito kutoka. All in all anahitaji vipimo vya kina. Maana tatizo sio kupata mimba tatizo lake zinatoka




Khantwe, ungelitafakari kwa kina hili swali la jojoe35 ungeelewa mantiki yake. Take time and think about it.

Imagine wewe unaishi na mwanaume, ukiwa na mtoto tayari kwa mwanaume mweingine. Na mmeo ana ndoto kubwa sana ya kupata mtoto. na wewe ukaijua kiu yake. Mkapata mtoto bahati mbaya akafariki........... ukamwona mmeo alivyoumia moyo.... anavyosononeka.... anavyotoa michozi.... then ukapata mimba ikaharibika.... akaumia moyo tena.... Then mimba ikagoma kukamata..... Think Khantwe.... think!!!

Ngoja nimwite wife wangu mshauri nasaha BADILI TABIA aje amfanyie maombi huyu mtumishi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom