Wiki moja inatosha kabisa
yawezakua kaka maana alipima kama 2 wks after kukutana ikawa negative bt hadi sasa hajaona period zimepitiliza kama siku 8 hivi.
week tatu tu inasomeka lakin mara nying mwez tu
Sawa sawa, ndani ya siku 10 mambo yanajulikana
Apologise lady ar serious au Unatania?
Una maana gani kusema siku 10 tuu?
Unamaanisha ukipima tuu IMO?
Au dalili kwa mwanamke zitaanza kujitokeza?
Come here apologize lady...
Hahahaha Apologise lady....za siku? nimependa kujua tuuu,ili nisidanganywe na nyie...Dalili kuonekana inategemea na homoni za mama, ila mara nyingi kuanzia mwezi mmoja.'
Ila ukipima kwa kipimo cha UPT ndani ya siku 10 inaweza kuonekana.
Umemmimba mtu niandae beseni???
Hahahaha Apologise lady....za siku? nimependa kujua tuuu,ili nisidanganywe na nyie...
jamani apologise,hata mechi ya kirafiki? kwa malengo ya kuimarisha Urafiki....hahahaaaNzuri my dia, usiuze mechi kwa mtu usie na malengo nae bhana!!
jamani apologise,hata mechi ya kirafiki? kwa malengo ya kuimarisha Urafiki....hahahaaa
Duuu....basi itabidi niombe mechi kwako ili unipe ushauri vizuri na wa vitendo...wenye tija..Weee!!! Usivue jezi hasa vimechi vya kirafiki vya mchangani tafadhali, unakale kaugonjwaa??? Shauri yako usije na machozi kwangu kuomba ushari, hahahahaha!!!
Duuu....basi itabidi niombe mechi kwako ili unipe ushauri vizuri na wa vitendo...wenye tija..
Shikamoo mam"dogo" naomba unipwelepwete....Unatafuta kupwelepwetwa dogo??? Mim mama ako mdogo