Mimba huanza kuonekana ikiwa na umri gani?

Mimba huanza kuonekana ikiwa na umri gani?

mdalla 1

Senior Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
120
Reaction score
20
Samahanini wakuu, swali langu laweza onekana la kitoto au either lishajadiliwa sana hapa ndani.

Kikubwa ningependa kujua ni umri gani ambapo mimba huweza kuonekana au kusomeka kwenye kipimo?
 
week tatu tu inasomeka lakin mara nying mwez tu
 
miez mitatu ya mwanzo ndipo tumbo linakuwa kubwa lakini kuonekana haswaa ni week mbili mpaka mwez kwa kupima na upt.
 
yawezakua kaka maana alipima kama 2 wks after kukutana ikawa negative bt hadi sasa hajaona period zimepitiliza kama siku 8 hivi.

Akapime tena!
Alikwenda hospital au ulinunua upt mwenyewe?
 
Sawa sawa, ndani ya siku 10 mambo yanajulikana

Apologise lady ar serious au Unatania?
Una maana gani kusema siku 10 tuu?
Unamaanisha ukipima tuu IMO?
Au dalili kwa mwanamke zitaanza kujitokeza?
Come here apologize lady...
 
Apologise lady ar serious au Unatania?
Una maana gani kusema siku 10 tuu?
Unamaanisha ukipima tuu IMO?
Au dalili kwa mwanamke zitaanza kujitokeza?
Come here apologize lady...

Dalili kuonekana inategemea na homoni za mama, ila mara nyingi kuanzia mwezi mmoja.'

Ila ukipima kwa kipimo cha UPT ndani ya siku 10 inaweza kuonekana.

Umemmimba mtu niandae beseni???
 
Dalili kuonekana inategemea na homoni za mama, ila mara nyingi kuanzia mwezi mmoja.'

Ila ukipima kwa kipimo cha UPT ndani ya siku 10 inaweza kuonekana.

Umemmimba mtu niandae beseni???
Hahahaha Apologise lady....za siku? nimependa kujua tuuu,ili nisidanganywe na nyie...
 
jamani apologise,hata mechi ya kirafiki? kwa malengo ya kuimarisha Urafiki....hahahaaa

Weee!!! Usivue jezi hasa vimechi vya kirafiki vya mchangani tafadhali, unakale kaugonjwaa??? Shauri yako usije na machozi kwangu kuomba ushari, hahahahaha!!!
 
Weee!!! Usivue jezi hasa vimechi vya kirafiki vya mchangani tafadhali, unakale kaugonjwaa??? Shauri yako usije na machozi kwangu kuomba ushari, hahahahaha!!!
Duuu....basi itabidi niombe mechi kwako ili unipe ushauri vizuri na wa vitendo...wenye tija..
 
Back
Top Bottom