Mimba hugundulika baada ya muda gani?

Mimba hugundulika baada ya muda gani?

Miezi 9, dalili zake ni sauti ya ng'aa ng'aaa ng'aaa, inatokayo katikati ya mapaja. Zingine zooote feki.

Ha ha ha.

Sijui yuko darasa la ngapi huyu mtoa mada, kwa swali hili hawezi kuwa ameshafika hata darasa la sita.
 
Samahani jamn ety nimesex cku ya htr Bila kujua na nikawai kabla masaa 24 kunywa dawa za p2 je naweza nikawa mjamzito
Sasa p2 za nini? Mnajua kama mnaharibu kizazi na baadae unapotaka kupata mtoto shida zinaanza
 
sijakuelewa vizuri,, icho kitendo kishatokea yaani ushasex na baharia than ukabwia p2 au ndo unampango wa kwenda kumtunuku bahari afu unywe izo dawa.
Samahani jamn ety nimesex cku ya htr Bila kujua na nikawai kabla masaa 24 kunywa dawa za p2 je naweza nikawa mjamzito
 
Samahani jamn ety nimesex cku ya htr Bila kujua na nikawai kabla masaa 24 kunywa dawa za p2 je naweza nikawa mjamzito
Huwezi
P2 inafanya kazi ndani ya masaa 72 baada ya kufanya ngono isiyo salama.
 
Back
Top Bottom