Inafahamika katika science kwamba yai la mwanamke linabeba X Chromosomes,na sperm inabeba either X au Y chromosome.Kwa maana nyingine sperm ina aina mbili za chromosomes,X na Y,ilhali yai lina only X chromosome.
Sasa hii "Y" ndio inahusika na kuleta male fetus.
How?Kama sperm ikitoa Y chromosome,wakati inaungana na yai(ambalo lina X tu),then chromosomal combination inakuwa XY,ambayo basically ndio husababisha male fetus.
Kama sperm ikitoa X chromosome wakati wa kuungana na yai,then chromosomal combination inakuwa XX,ambayo basically husababisha female fetus.
HATA HIVYO,ili fetus iweze kuwa male,ni lazima kama tulivyoona,chromosomal combination iwe na Y chromosome,(XY),LAKINI PIA,lazima kuwe na stimulation toka kwa androgens(certain type of hormones),ambazo zinastimulate Y kudevelop male features na anti-mullerian hormones (AMH) ambazo zinazuia X chromosome kudevelop female features,na hivyo XY combination kudevelop into male external genitalia(maumbile ya kiume).
Kama combination ni XX,hapo fetus,kwa msaada wa hormones(estrogens) za mama zilizomo kwenye ile martenal environment ndani ya tumbo la uzazi,itadevelop into female fetus.
UTATA:Kinachosababisha baadhi ya scientists hasa waumini wa feminism waseme kuwa human fetus katika early stages huwa female ni hiki;
Inapotokea ile XY combination inayosababisha male fetus haipati androgens za kutosha kuistimulate Y,then ile X chromosome yake inaendelea kudevelop yenyewe into female fetus.Scenario hii husababisha watu waone kuwa fetus kwa asili ni female,hadi pale kunapokuwa na interference ya androgens ndio male fetus inatokea,na bila hizo hormones basi regardless of chromosomal combination(XX au XY),fetus inadevelop kuwa female.
Si sahihi kusema hivyo,kwa sababu,hata hiyo X chromosome inakuwa stimulated na hormones za mama ili kudevelp into female fetus,hivyo,in the absence of all hormones,fetus haiwezi kudevelop either type of genitalia,be it male or female.
Kwa kuwa jinsia ya fetus at early stages inajulikana kwa kutazama chromosomal combination,hauwezi kusema fetus ni female wakati chromosomal structure yake inacontain Y chromosome.
Development ya XY into female fetus in the absence of androgens haihalalishi kusema basically fetus ni female,kwa sababu Y haihusiki,bali inakosa sapoti ya hormones,wakati X kutokana na nature yake ya kuwa kubwa,strong na inayodumu kwa muda mrefu kuliko Y,inakuwa rahisi kupata msaada wa hormones za mama na kudevelop female fetus.
Mpaka fetus ipate hormonal stimulation na kudevelop external genitalia,hauwezi kujua kama fetus hiyo itakuwa male au fermale katika hatua za mwanzo,isipokuwa kwa kutazama tu chromosomal combination,ambazo ni either male(XY) au female(XX).
Na hivyo basi,fetus at early stages,inakuwa proto-structure ambayo inaweza kuwa either male or female,na huwezi kutambua itafuata mkondo gani mpaka baada ya wiki 7 tangu mimba itungwe.
Hence,it's fair to say,kwenye hatua za mwanzo,fetus ni asexual,(neutral),NOT FEMALE.
Ukitazama hiyo link aliyotoa mleta mada,utaona kuwa huyo mwandishi amejikita zaidi kwenye mambo ya psychobiology,akitumia biological theories kuwapa watu imani fulani.Amegusia science kidogo kwenye paragraph ya kwanza,but the rest anajaribu kujenga hoja ya usawa wa mwanaume na mwanamke basing on biological theory aliyoiandika katika paragraph ya kwanza,bila kutazama uhalisia na ukweli wa mambo juu ya dhana husika.
Ndio maana nikasema kwenye ile post yangu ya kwanza,hii ni politiki tu.
Sina shida na mleta mada,yeye katuletea chakula mezani,kama ni kizuri au kibaya,it's up to us,walaji na mpishi.
So,you can see mkuu,tunaokataa hiyo theory hatuendeshwi na tamaduni za mfumo dume,bali scientific facts nyingine ambazo mpishi wa habari ameziacha,and seemingly to me,with a certain motive.Angalia post za watu humu,wengi wamegusia hayo mambo ya X na Y,so wana hoja za kisayansi,sio emotions au umburula kama usemavyo,isipokuwa tu haya mambo ya sayansi huwa yanahitaji maelezo mengi ambayo wakati mwingine watu hawana muda wa kukesha kwenye simu au computer wakiyaandika,doesn't mean they dont know,but they dont have enough time to explain.