Mimba ikianza Binadamu wote huanza na Jinsia ya Kike

Mimba ikianza Binadamu wote huanza na Jinsia ya Kike

Tengua kauli yako

Mkuu hayo aliyoyaandika kiongozi ni ya kweli. kama huamini chukua kioo na uangalie kwenye ile ngozi inayozibeba korodani kama haina kitu kama kamshono. Kwa maana nyingine badala ya kuwa na mashavu kama papuchi ya mwanamke wewe yameunganishwa na Hako kamshono . kuwa pole na punguza hasira.
 
Wachangiaji mnaohoji elimu ya mtoa mada na wale wengine ambao mnakejeli kwa kusema mtoa mada amezimua na kiroba mtakuwa mnakosea kwa sababu hamjachukua muda kutafiti alichokiandika mtoa. Tumieni busara kutolea maoni suala hili. Alternatively
CHUKUENI KIOO NA MJICHUNGUZE VIZURI. UTAGUNDUA KWA NINI MTOA UZI ANASEMA HIVYO
 
Mlaleo, unajua sasa hawa wana jf wametekwa na siasa, kutwa ukawa na ccm, vingine wanasahau

Mkuu JF sasa imekuwa ni Lowassa tu mtu mwenyewe Lowassa sio Muongeaji... so kinachofuata ni uzushi uzushi tu mimi nishachoka kufuatilia nasubiri time zifike tu
 
Alaaaaaaa,hapa umenipa Jibu.
Nilitaka kujiuliza hivi MASHOGA chanzo chake nini?
Kumbe wakati wa kubadilika wengine wanabadilika viungo tu Hormones,Genes na Cadet zinagoma kurudi ndio wanakuwa mashoga.
Aisee hii kali.

Kaka, hii kitu ni kweli kabisa wote tunakuwa na umbile la kike ila kutokana na zile hormone za kike zikiwa nyingi zaidi ya kiume unabaki mwanamke na zikizidi za kiume kuliko za kike, unakuwa dume, na hata hivyo nyingine zinaibuka ukubwani mfano akina mama kuwa ndevu na mambo yao kidume dume, utasikia jike dume lile, ila hii nadharia ni kweli mie nilisoma pcb na nilikutana nayo kwenye vitabu mbali mbali vya bios
 
This theory is only applicable kwa mashoga

Gilesi na wewe ------ yako yanachezacheza bado? mtu kuleta Thread sio kwamba yye yupo namna hiyo au kumkashifu kwa namna moja au nyingine... uzi kama huu nimeuchukua kama ulivyo... kuelimika ni mtu kutumia akili yake vizuri ili aishi na jamii vizuri kwa upendo na upole na sio kashfa kama zako jike dume wewe... nyamafu mkubwa naweza kuwa baba yako...

Ukitaka kueleweka vizuri siku nyingine weka msimamo wako kabisa juu ya mada unayo-copy na ku-paste. Sasa tuambie msimamo wako kati ya hii science mpya na ile ya kuwepo kwa mbegu ya kike na ya kiume hata kabla ya kiumbe ku-form.
 
Wanasayansi wanaamini kuwa jambo lolote likisemwa kuwa ni Wanasayansi wamegundua basi litaaminiwa.
 
Wanasayansi wanaamini kuwa jambo lolote likisemwa kuwa ni Wanasayansi wamegundua basi litaaminiwa.

Nmepitia koment za watu wote nimegundua kitu kimoja. Watanzania wameharibiwa na siasa pamoja na utani mwingi. Yaani watu wanaleta siasa mpaka kwenye sayansi, no wonder ndio maana tupo nyuma kwenye technolojia. Nmeskitika sana kuona mtoa mada ameleta mada yake kwa nia njema tu ilikuelimisha watu but people wamemtukana !
Watanzania inabid tusome na sio kupayuka payuka kusiko kuwa na maana. Watu wengi wamechangia with mediocre comments kiasi cha kwamba unaweza kujiuliza hivi tutafika kweli watanzania kwa mawazo ya namna hii?!
My take hyo theory ipo sahihi kabisa, ni swala la wewe kutafta vitabu na kujisomea ili uje kuchallenge kisayansi zaidi na si kijinga jinga kama baadhi ya watu wengi waliocomment !
 
Inafahamika katika science kwamba yai la mwanamke linabeba X Chromosomes,na sperm inabeba either X au Y chromosome.Kwa maana nyingine sperm ina aina mbili za chromosomes,X na Y,ilhali yai lina only X chromosome.

Sasa hii "Y" ndio inahusika na kuleta male fetus.

How?Kama sperm ikitoa Y chromosome,wakati inaungana na yai(ambalo lina X tu),then chromosomal combination inakuwa XY,ambayo basically ndio husababisha male fetus.

Kama sperm ikitoa X chromosome wakati wa kuungana na yai,then chromosomal combination inakuwa XX,ambayo basically husababisha female fetus.

HATA HIVYO,ili fetus iweze kuwa male,ni lazima kama tulivyoona,chromosomal combination iwe na Y chromosome,(XY),LAKINI PIA,lazima kuwe na stimulation toka kwa androgens(certain type of hormones),ambazo zinastimulate Y kudevelop male features na anti-mullerian hormones (AMH) ambazo zinazuia X chromosome kudevelop female features,na hivyo XY combination kudevelop into male external genitalia(maumbile ya kiume).

Kama combination ni XX,hapo fetus,kwa msaada wa hormones(estrogens) za mama zilizomo kwenye ile martenal environment ndani ya tumbo la uzazi,itadevelop into female fetus.

UTATA:Kinachosababisha baadhi ya scientists hasa waumini wa feminism waseme kuwa human fetus katika early stages huwa female ni hiki;
Inapotokea ile XY combination inayosababisha male fetus haipati androgens za kutosha kuistimulate Y,then ile X chromosome yake inaendelea kudevelop yenyewe into female fetus.Scenario hii husababisha watu waone kuwa fetus kwa asili ni female,hadi pale kunapokuwa na interference ya androgens ndio male fetus inatokea,na bila hizo hormones basi regardless of chromosomal combination(XX au XY),fetus inadevelop kuwa female.

Si sahihi kusema hivyo,kwa sababu,hata hiyo X chromosome inakuwa stimulated na hormones za mama ili kudevelp into female fetus,hivyo,in the absence of all hormones,fetus haiwezi kudevelop either type of genitalia,be it male or female.

Kwa kuwa jinsia ya fetus at early stages inajulikana kwa kutazama chromosomal combination,hauwezi kusema fetus ni female wakati chromosomal structure yake inacontain Y chromosome.

Development ya XY into female fetus in the absence of androgens haihalalishi kusema basically fetus ni female,kwa sababu Y haihusiki,bali inakosa sapoti ya hormones,wakati X kutokana na nature yake ya kuwa kubwa,strong na inayodumu kwa muda mrefu kuliko Y,inakuwa rahisi kupata msaada wa hormones za mama na kudevelop female fetus.

Mpaka fetus ipate hormonal stimulation na kudevelop external genitalia,hauwezi kujua kama fetus hiyo itakuwa male au fermale katika hatua za mwanzo,isipokuwa kwa kutazama tu chromosomal combination,ambazo ni either male(XY) au female(XX).

Na hivyo basi,fetus at early stages,inakuwa proto-structure ambayo inaweza kuwa either male or female,na huwezi kutambua itafuata mkondo gani mpaka baada ya wiki 7 tangu mimba itungwe.

Hence,it's fair to say,kwenye hatua za mwanzo,fetus ni asexual,(neutral),NOT FEMALE.

Ukitazama hiyo link aliyotoa mleta mada,utaona kuwa huyo mwandishi amejikita zaidi kwenye mambo ya psychobiology,akitumia biological theories kuwapa watu imani fulani.Amegusia science kidogo kwenye paragraph ya kwanza,but the rest anajaribu kujenga hoja ya usawa wa mwanaume na mwanamke basing on biological theory aliyoiandika katika paragraph ya kwanza,bila kutazama uhalisia na ukweli wa mambo juu ya dhana husika.

Ndio maana nikasema kwenye ile post yangu ya kwanza,hii ni politiki tu.

Sina shida na mleta mada,yeye katuletea chakula mezani,kama ni kizuri au kibaya,it's up to us,walaji na mpishi.

So,you can see mkuu,tunaokataa hiyo theory hatuendeshwi na tamaduni za mfumo dume,bali scientific facts nyingine ambazo mpishi wa habari ameziacha,and seemingly to me,with a certain motive.Angalia post za watu humu,wengi wamegusia hayo mambo ya X na Y,so wana hoja za kisayansi,sio emotions au umburula kama usemavyo,isipokuwa tu haya mambo ya sayansi huwa yanahitaji maelezo mengi ambayo wakati mwingine watu hawana muda wa kukesha kwenye simu au computer wakiyaandika,doesn't mean they dont know,but they dont have enough time to explain.

It's the best analysis. Keep it up!
 
Ndebelile kikwetu, kinyakyusa Mmaaaaa mi sikuwa demu ww mtoa post
 
Heshimu ili uheshimiwe... kama wewe kwenu mna huo uzoefu wa mtu anayezungumzia kitu fulani basi anakuwa hivyo baadae... mimi umri wangu ushaenda sana na huu uzi nimeucopy tu baada ya kuuona Wanasayansi ndio wanaoendesha Dunia siku hizi na sio Kenge kama wewe kutusi watu Mbavu pu Zako

Sijaona sababu ya wewe kutukana!!, wewe ndio mwenye matatizo, kilichofanyika wakuu wamejua nini unacho kipoint, binafsi hata mwanzo tu nimejua nini uelekeo wako.. ukikataa basi ila tunajua unataka kubadilishia gia kitonga.
 
Yeah kwa sababu linakuwa na Uthibitisho tofauti na Watu wa Dini wao husema Wameoteshwa... Ndio Maana mambo yao hayaaminiki sana na wao huwa wanakazia kwenye Kuwatisha Wasio Amini hata kuwaambia kuwa Watachomwa na Moto usiozimika... Alimradi wapate kuaminiwa.... Sayansi mambo yake yana evidance zake...

Well said MKUU. Dini zote zmesambazwa through fear and intimidation to non believers !
 
Wanasayansi wanaamini kuwa jambo lolote likisemwa kuwa ni Wanasayansi wamegundua basi litaaminiwa.

Yeah kwa sababu linakuwa na Uthibitisho tofauti na Watu wa Dini wao husema Wameoteshwa... Ndio Maana mambo yao hayaaminiki sana na wao huwa wanakazia kwenye Kuwatisha Wasio Amini hata kuwaambia kuwa Watachomwa na Moto usiozimika... Alimradi wapate kuaminiwa.... Sayansi mambo yake yana evidance zake...
 
Back
Top Bottom