Mimba ikianza Binadamu wote huanza na Jinsia ya Kike

Mimba ikianza Binadamu wote huanza na Jinsia ya Kike

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
14,809
Reaction score
11,825
We're all created equal; we were all conceived as females FIRST

4ToTe5qZZP6VcAAAAASUVORK5CYII=


Binadamu wote inapotungwa Mimba basi mwili huwa ni wa kike kuanzia mimba ya mwezi mmoja.. kuhusu jinsia ya kiume hutokea pale tu hormone za kiume zikianza kujizalisha na kama hazijajizalisha basi mtoto hubakia wa kike hadi kuja kuzaliwa. hivyo katika uumbwaji wetu binadamu sote ni sawa...


The human body commences, genetically speaking, in female form. Transformation may occur during the second month of pregnancy: If testosterone is present, the child develops male external genitals; if absent, the child remains a female and her external genitals develop as such.

It's not uncommon for cultures to presume the sexes are distinct opposites. First, it simplifies roles which are identified as either "male" or "female" in nature. Second, this is the most efficient method of utilizing the supposed identified "strengths" of each sex and underplay the weaknesses.

Naturally, this narrow cookie-cutter mentality does not allow for the recognition or development of cross-gender roles or acknowledges the fact that men may own decidedly "female" strengths and vice-versa. In addition, it stymies further development of the culture in that, for example, had Americans remained of this mindset, women would not have worked outside of the home during WWI and thereafter, during a time when women had to fill the roles of their husbands serving in combat.

This mindset also stifles creativity. Each sex brings unique perspectives and experiences to problem solving, allowing for better options and decisions.

We need to openly accept and embrace the fact that women and men think differently because our brains and bodies are, in fact, different. That's not bad or good, it just is. If we openly acknowledge that fact, perhaps then we can rationally identify and utilize the strengths of each sex, underplay the weaknesses, and allow for cross-gender roles for those who exhibit the skills.


References:
Pinel, J.P. (2003). Biopsychology, (5th ed.). Boston: Allyn and Bacon.
 
Inawezekana kimaumbile tukawa tunaanza hivyo lakini kutokana na elimu yangu ndogo sana katika baiolojia ninafahamu kuwa mtoto kuwa wa kiume au wa kike inatokea tangu pale mbegu za kiume zinaporutubisha yai maana kuna mbegu za kiume na kike. Kwa hiyo kama ni mbegu ya kiume ndiyo iliyorutubisha yai, hata kama mwili huanza kama wa kike inakuwa ishajulikana kwa muunganiko wa X & Y chromosomes
 
Kwa bios niliosoma hapa unadanganya mwanaume ana mbegu XY na mwanamke ana XX ukicross hapo ndo unaoata either me/ke
 
This theory is only applicable kwa mashoga

Gilesi na wewe ------ yako yanachezacheza bado? mtu kuleta Thread sio kwamba yye yupo namna hiyo au kumkashifu kwa namna moja au nyingine... uzi kama huu nimeuchukua kama ulivyo... kuelimika ni mtu kutumia akili yake vizuri ili aishi na jamii vizuri kwa upendo na upole na sio kashfa kama zako jike dume wewe... nyamafu mkubwa naweza kuwa baba yako...
 
wewe mkali!
Ndio anakoelekea huyu.....we subiri tu....tumwone anakoenda

Heshimu ili uheshimiwe... kama wewe kwenu mna huo uzoefu wa mtu anayezungumzia kitu fulani basi anakuwa hivyo baadae... mimi umri wangu ushaenda sana na huu uzi nimeucopy tu baada ya kuuona Wanasayansi ndio wanaoendesha Dunia siku hizi na sio Kenge kama wewe kutusi watu Mbavu pu Zako
 
Mkuu na hiyo biologia yenu mnatuzalilisha ss nimechoka ntake radhi
 
k¨¬nembe hakitofautiani na ¨´ume kipindi hicho, hayo ndiyo maneno ya wanasayansi wako.
Nenda shule ukajifunze kuandika ili ueleweke... Hebu soma ulichoandika baada ya siku mbili kama utakielewa
 
kama nakumbuka vizuri, katika hatua za mwanzo kabisa fetus kwa muonekano ni ngumu kutofautisha male au female, zote zinakuwa sawa tu, hizi shule za kata hazina hata maabara, nakumbuka shuleni kwetu kwenye maabara ya biology kulikuwa na hivi vitu kwenye chupa vikiwa na age mbalimbali mnavisoma live, lakini sku hizi mtoto akichagua art basi science anatoka sifuri kabisaa, zamani ilikuwa hakuna kuchagua masomo ukiwa o-level!
 
Back
Top Bottom