Mimba imeharibika

Mimba imeharibika

mbogyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
231
Reaction score
100
Ni jzi tu nliomba ushaur wnu juu ya mke wngu kubleed akiwa nimjamzto leo mchana mimba imeharibka rejea mjamzito anabreed
 
pole sana tena sana.mimba kuharibika nayo ni maumivu makubwa.
 
Poleni sana. Ni muhimu afanyiwe kipimo cha ultrasound ili kama haijatoka yote asafishwe mapema.
 
Mkuu linapotokea tatizo kama hilo ni bora kuwahi kuonana na dakitari haraka iwezekanavyo.

Poleni sana, ila msikate tamaa ya maisha.
 
Back
Top Bottom