Mimba ipo au haipo mimi ni mhanga natafuta mtoto mwaka wa pili sasa

Mimba ipo au haipo mimi ni mhanga natafuta mtoto mwaka wa pili sasa

Acha haraka kama ipo itaonekana tu,wewe endelea kupeleka moto.
 
Endelea kusugua goti mkuu, hakuna mimba hapo.
 
Una huo uwezo wa kupachika mimba Kwa bebez??tuanzie hapo kwanza
 
Kwenu mmezaliwa wangapi? Historia ni muhimu pia
 
Back
Top Bottom