BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
nmefanya ultrasound ingine jana! dr.amesema ipo sawa ila nirudie tena after 4 weeks!Ulifanya transviginal utrasound? ??
Kwa nini usipate second opinion????
Kuconclude kama kuna empty sac. . (Ingawa at 6 weeks kunatakiwa kuwe na heartbeat)
dah namshukuru Mungu kwa yote kwan yeye ndo mjuzi zaidi! pia asanteni sana ndugu zangu kwa ushauri wenu japokuwa kwa bahat mbaya ile mimba imeshatoka ndo nmerud hosp mda c mrefu! naendelea vizuri! Mungu awabarikiHabari zenu ndugu zangu!
Ni msichana wa miaka 30! nina ujauzito takriban week 6 hadi7! Jana nilipoenda haja nikakutana na vidamu kidogo na leo pia vile vidamu na utelezi kidogo bado vipo! Sio vingi sana sababu havijashika hata kwenye nguo ya ndani!
Nimeenda hospitali na daktari akaniandikia vipimo ikiwemo ultrasound! kila kitu kilikuwa sawa isipokuwa daktari alisema mimba ipo lakini ndani hakuna kitu chochote kwahiyo inabidi kesho niende nikasafishwe!
Jamani naombeni msaada wenu mwenye ujuzi na hili anipe mawazo!
Ushauri wenu utanisaidia...! Hii hali imekaaje?
Natanguliza shukrani.
Pole sana dada, utapata tu nyingine kwa wakati unaofaa, kipindi cha week 4 mpaka 12 weeks ni cha kuomba sana, nakumbuka kwa wifi yako.dah namshukuru Mungu kwa yote kwan yeye ndo mjuzi zaidi! pia asanteni sana ndugu zangu kwa ushauri wenu japokuwa kwa bahat mbaya ile mimba imeshatoka ndo nmerud hosp mda c mrefu! naendelea vizuri! Mungu awabariki
mhTatizo ni fikra zako tu. Kwanza walishaanza kukuambia hutazaa tena. Wengine wakakupa mawazo mabovu. Ndo maana weye ukajiita msichana.
Sasa, tulia tuli. Ka uliye naye ni bwana wako kakuoa, usiogope, nenda wakaitoe hiyo ya uongo. Mfuko ujiandae kupokea nyingine nawe utaipata inshallah.
Usijali, yatapita tu na wala usidhani ni ugonjwa au kasoro flani,ni nature tu. Kuna pacent kubwa inatokea hivyo ndio maana wanawake wengi wanashauriwa wasitangaze ujauzito wao kwa watu wengi kabla hajavuka miezi 3. Usiwaze sana likakuletea stress kwenye utafutaji ujao. relax.we acha tu kaka angu maumivu makali sana!
sawa kaka asante kwa ushauriUsijali, yatapita tu na wala usidhani ni ugonjwa au kasoro flani,ni nature tu. Kuna pacent kubwa inatokea hivyo ndio maana wanawake wengi wanashauriwa wasitangaze ujauzito wao kwa watu wengi kabla hajavuka miezi 3. Usiwaze sana likakuletea stress kwenye utafutaji ujao. relax.
Sababu hasa haijulikani ila kwa ufupi ni mambo ya chromosomes au niseme genetics. Yako nje ya uwezo wa kibinaadamu. Cha msingi fuata ushauri uliopewa na daktari, atakuwa amekwambia kuhusu kurudi kupima kila baada ya mda fulani, pia amekushauri suala la kutobeba mimba kwa sasa. Huwa inatokea nimeshashuhudiando inakuwaje hiyo na nifanye nn ili ictokee tena? ushauri pls
Hata Mimi ishanitokeaPole Sana Dada .. hii ishamtokea Wifi yako.. Inaitwa Ambryonic Pregnancy yaani Fertilization imetokea But Embryo Haipo Kwa Sababu ya Kuwa na Kasoro Kidogo katika Yai lako. Na Mara Nyingi inakuwa ni mambo ya Genetic tu..
But Usihofu Huwa Inatokea na Wewe si Mtu wa Kwanza Bt You can Still Have Healthy Baby in Future.. Nenda Tu wakusafishe basi
Pole dia mi pia ilishanitokea hiyo na huwa inatokea kama mdau hapo alivyosema mbegu hazikurutubishwa vizuri ila Dr alisema huwa hakuna historia kwamba brighted ovum huwa inajirudia pole sana najua inavyouma duh ..mungu atakusaidiadah namshukuru Mungu kwa yote kwan yeye ndo mjuzi zaidi! pia asanteni sana ndugu zangu kwa ushauri wenu japokuwa kwa bahat mbaya ile mimba imeshatoka ndo nmerud hosp mda c mrefu! naendelea vizuri! Mungu awabariki
Yah wanasemaga eti kimimba kinajitengeneza cha uongo yani huwa inauma sana atapata nyngineTatizo ni fikra zako tu. Kwanza walishaanza kukuambia hutazaa tena. Wengine wakakupa mawazo mabovu. Ndo maana weye ukajiita msichana.
Sasa, tulia tuli. Ka uliye naye ni bwana wako kakuoa, usiogope, nenda wakaitoe hiyo ya uongo. Mfuko ujiandae kupokea nyingine nawe utaipata inshallah.
Sasa mimi mwenye 25 na fit wap?Mtoto wa kike..1-5yrs
Binti..6-12yrs
Msichana..14-22
Mwanamke,,26-35
Miaka 30 ni Mwanake sio msichana.
khs Mada tajwa mezani
Washauri wnaendelea kuja.
Pole kwa mshtuko
Huwa inatokeaCould be pseudo pregnancy R/o fibroid japo hujaeleweka what is mimba where does it found unaposema hakuna kitu ndan unamaanisha ndan gan