mimba ipo ila hakuna kiumbe ndani!

mimba ipo ila hakuna kiumbe ndani!

Pole Sana Dada .. hii ishamtokea Wifi yako.. Inaitwa Ambryonic Pregnancy yaani Fertilization imetokea But Embryo Haipo Kwa Sababu ya Kuwa na Kasoro Kidogo katika Yai lako. Na Mara Nyingi inakuwa ni mambo ya Genetic tu..

But Usihofu Huwa Inatokea na Wewe si Mtu wa Kwanza Bt You can Still Have Healthy Baby in Future.. Nenda Tu wakusafishe basi
Aaah sorry kumbe nlichangiaga Uzi wako...
 
Habari zenu ndugu zangu!

Ni msichana wa miaka 30! nina ujauzito takriban week 6 hadi7! Jana nilipoenda haja nikakutana na vidamu kidogo na leo pia vile vidamu na utelezi kidogo bado vipo! Sio vingi sana sababu havijashika hata kwenye nguo ya ndani!

Nimeenda hospitali na daktari akaniandikia vipimo ikiwemo ultrasound! kila kitu kilikuwa sawa isipokuwa daktari alisema mimba ipo lakini ndani hakuna kitu chochote kwahiyo inabidi kesho niende nikasafishwe!

Jamani naombeni msaada wenu mwenye ujuzi na hili anipe mawazo!

Ushauri wenu utanisaidia...! Hii hali imekaaje?

Natanguliza shukrani.

PSEUDO PREGNANCY
 
Pole dia mi pia ilishanitokea hiyo na huwa inatokea kama mdau hapo alivyosema mbegu hazikurutubishwa vizuri ila Dr alisema huwa hakuna historia kwamba brighted ovum huwa inajirudia pole sana najua inavyouma duh ..mungu atakusaidia
asante mpnz wangu nashukuru naendelea vizuri! pole na ww! naogopa hata kubeba tena jamani yaan we acha tu! nahisi nikibeba tena itakuwa hvhv
 
Sababu hasa haijulikani ila kwa ufupi ni mambo ya chromosomes au niseme genetics. Yako nje ya uwezo wa kibinaadamu. Cha msingi fuata ushauri uliopewa na daktari, atakuwa amekwambia kuhusu kurudi kupima kila baada ya mda fulani, pia amekushauri suala la kutobeba mimba kwa sasa. Huwa inatokea nimeshashuhudia
asante sana kaka
 
Wana sema asilimia 10 mpaka 25 ya wanawake kupata miscarriage. Kwa hiyo ni jambo la kawaida tu mamake . Itapita tu.

Hujui mwenyezi Mungu kakuepusha na nini. Shukuru kwa kila jambo . Ukiwa tayari jaribu tena.
 
Kwanza kabisa wewe sio Msichana na iwe mwanzo na mwisho kujiita msichana na ukirudia tena kujiita msichana ndio utanijua vizuri
 
Back
Top Bottom