Wiki sita kuna kuwa na hatbit ngoja nirudi shuleUlifanya transviginal utrasound? ??
Kwa nini usipate second opinion????
Kuconclude kama kuna empty sac. . (Ingawa at 6 weeks kunatakiwa kuwe na heartbeat)
Aaah sorry kumbe nlichangiaga Uzi wako...Pole Sana Dada .. hii ishamtokea Wifi yako.. Inaitwa Ambryonic Pregnancy yaani Fertilization imetokea But Embryo Haipo Kwa Sababu ya Kuwa na Kasoro Kidogo katika Yai lako. Na Mara Nyingi inakuwa ni mambo ya Genetic tu..
But Usihofu Huwa Inatokea na Wewe si Mtu wa Kwanza Bt You can Still Have Healthy Baby in Future.. Nenda Tu wakusafishe basi
Nenda upesi...Wiki sita kuna kuwa na hatbit ngoja nirudi shule
Mimi pia kuna Dr ashawahi kunambia hivyo nlishangaa sana duhWiki sita kuna kuwa na hatbit ngoja nirudi shule
Inawezekana japo kama mimba imetoka itakuwa ilikuwa t abortion R/o inevitable abortion 2' idiopathicHuwa inatokea
Nipe theory b4 ya clinical ninachojua mm organogenesis start at 12 wiks sasa hizo 6 zako prove it hereNenda upesi...
Ila practical ndio inakufaa
Habari zenu ndugu zangu!
Ni msichana wa miaka 30! nina ujauzito takriban week 6 hadi7! Jana nilipoenda haja nikakutana na vidamu kidogo na leo pia vile vidamu na utelezi kidogo bado vipo! Sio vingi sana sababu havijashika hata kwenye nguo ya ndani!
Nimeenda hospitali na daktari akaniandikia vipimo ikiwemo ultrasound! kila kitu kilikuwa sawa isipokuwa daktari alisema mimba ipo lakini ndani hakuna kitu chochote kwahiyo inabidi kesho niende nikasafishwe!
Jamani naombeni msaada wenu mwenye ujuzi na hili anipe mawazo!
Ushauri wenu utanisaidia...! Hii hali imekaaje?
Natanguliza shukrani.
At six weeks heartbeat unaiona. Kwa transv us.......Nipe theory b4 ya clinical ninachojua mm organogenesis start at 12 wiks sasa hizo 6 zako prove it here
asante mpnz wangu nashukuru naendelea vizuri! pole na ww! naogopa hata kubeba tena jamani yaan we acha tu! nahisi nikibeba tena itakuwa hvhvPole dia mi pia ilishanitokea hiyo na huwa inatokea kama mdau hapo alivyosema mbegu hazikurutubishwa vizuri ila Dr alisema huwa hakuna historia kwamba brighted ovum huwa inajirudia pole sana najua inavyouma duh ..mungu atakusaidia
asante sana kakaSababu hasa haijulikani ila kwa ufupi ni mambo ya chromosomes au niseme genetics. Yako nje ya uwezo wa kibinaadamu. Cha msingi fuata ushauri uliopewa na daktari, atakuwa amekwambia kuhusu kurudi kupima kila baada ya mda fulani, pia amekushauri suala la kutobeba mimba kwa sasa. Huwa inatokea nimeshashuhudia
Pole sana Mungu yu pamoja nawewe acha tu kaka angu maumivu makali sana!
Hakuna kitu kama hicho labda alfeel martena pulsation fhb start at 20 and aboveMimi pia kuna Dr ashawahi kunambia hivyo nlishangaa sana duh
Umenidanganya na ww rudi shule ulipima martenal pulsationAt six weeks heartbeat unaiona. Kwa transv us.......
Nishapima mara kadhaa.......
Atakuwa hana jina hpo..Mwenye 23 - 25 ni nani sasa