Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Itakua ya ngapi... HahahahaYako naitaka leokesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua ya ngapi... HahahahaYako naitaka leokesho
Wanajamvi habarini na kheri ya mwaka mpya.
Bila kupoteza mda, mwanzoni mwa mwaka jana nilikutana na binti mmoja age ya 21 had 23 hivi. Katika harakati za kazi yule binti akaonesha kunielewa sana, kama tunavojijua baadhi ya wanaume na udhaifu mwingi, kondoo ikijileta tu hua hatujiulizi mara mbili basi nikapita nae.
Kama baada ya mwez akanambia ana ujauzito wangu. Kumwambia atoe nikaogopa basi nikamuacha hadi last week akajifungua. Binti anataka nimuoe kiukweli mimi sikua na mpango nae hata kidogo. Na kipindi chote cha mimba nilimwambia kwel kua mi sina future nae but nilikua namsapoti kwa kila stage hadi anajifungua.
Changamoto ni kwamba mi naishi Dodoma kikazi na mchumba wangu Ambae niko serious nae yuko Dar.
Naombeni experience kwenye hii issue
Oaaaaa huyooWanajamvi habarini na kheri ya mwaka mpya.
Bila kupoteza mda, mwanzoni mwa mwaka jana nilikutana na binti mmoja age ya 21 had 23 hivi. Katika harakati za kazi yule binti akaonesha kunielewa sana, kama tunavojijua baadhi ya wanaume na udhaifu mwingi, kondoo ikijileta tu hua hatujiulizi mara mbili basi nikapita nae.
Kama baada ya mwez akanambia ana ujauzito wangu. Kumwambia atoe nikaogopa basi nikamuacha hadi last week akajifungua.
Binti anataka nimuoe kiukweli mimi sikua na mpango nae hata kidogo. Na kipindi chote cha mimba nilimwambia kwel kua mi sina future nae but nilikua namsapoti kwa kila stage hadi anajifungua.
Changamoto ni kwamba mi naishi Dodoma kikazi na mchumba wangu Ambae niko serious nae yuko Dar.
Naombeni experience kwenye hii issue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimba inachukua 9 months sasa ww unasema "baada ya mwezi then last week akajifungua" seriously???
Unataka experience gani mwenetu?Wanajamvi habarini na kheri ya mwaka mpya.
Bila kupoteza mda, mwanzoni mwa mwaka jana nilikutana na binti mmoja age ya 21 had 23 hivi. Katika harakati za kazi yule binti akaonesha kunielewa sana, kama tunavojijua baadhi ya wanaume na udhaifu mwingi, kondoo ikijileta tu hua hatujiulizi mara mbili basi nikapita nae.
Kama baada ya mwez akanambia ana ujauzito wangu. Kumwambia atoe nikaogopa basi nikamuacha hadi last week akajifungua.
Binti anataka nimuoe kiukweli mimi sikua na mpango nae hata kidogo. Na kipindi chote cha mimba nilimwambia kwel kua mi sina future nae but nilikua namsapoti kwa kila stage hadi anajifungua.
Changamoto ni kwamba mi naishi Dodoma kikazi na mchumba wangu Ambae niko serious nae yuko Dar.
Naombeni experience kwenye hii issue
Itakua yapili.. lazima nitoke na🤰hukuItakua ya ngapi... Hahahaha
Binti anataka nimuoe kiukweli mimi sikua na mpango nae hata kidogo. Na kipindi chote cha mimba nilimwambia kwel kua mi sina future nae but nilikua namsapoti kwa kila stage hadi anajifungua.
Changamoto ni kwamba mi naishi Dodoma kikazi na mchumba wangu Ambae niko serious nae yuko Dar.
Karma is real blaza umemchezea rafu mbaya sana you wait instant karma
Mpendwa, siku comment kukulazimisha wewe au yeyote yule akubali single mama. Ndio maana katika ushauri wangu hata mabint nimewashauri kwa kutambua hata huyo binti ana kosa. Kwa maelezo kijana anafanya kazi so kiumri anaweza kuwa mkubwa zaidi ya huyo binti. Alitakiwa kumuongoza.Na huyo binti kama anajali future yake kwa nini agawe hiyo Mbususu?
KATAA SINGLE MAZA.
SINGLE MAZA NI LAANA.
😅😅 karoti haikutoshi, ongeza na bamia hapo. Iko hivi... nilikutana nae mwanzoni mwa mwaka jana ( mwez wa 3) kajifungua last week ( wiki la mwisho la disemba) au ushajisahau leo ni 2024 bro.Nimerudia lakini bado sijakuelewa au nirudi kula karoti🥕?
Waoe woteWanajamvi habarini na kheri ya mwaka mpya.
Bila kupoteza mda, mwanzoni mwa mwaka jana nilikutana na binti mmoja age ya 21 had 23 hivi. Katika harakati za kazi yule binti akaonesha kunielewa sana, kama tunavojijua baadhi ya wanaume na udhaifu mwingi, kondoo ikijileta tu hua hatujiulizi mara mbili basi nikapita nae.
Kama baada ya mwez akanambia ana ujauzito wangu. Kumwambia atoe nikaogopa basi nikamuacha hadi last week akajifungua.
Binti anataka nimuoe kiukweli mimi sikua na mpango nae hata kidogo. Na kipindi chote cha mimba nilimwambia kwel kua mi sina future nae but nilikua namsapoti kwa kila stage hadi anajifungua.
Changamoto ni kwamba mi naishi Dodoma kikazi na mchumba wangu Ambae niko serious nae yuko Dar.
Naombeni experience kwenye hii issue
Sasa mama hizo hasira nyingi za nini? Binti alkua anajua kua mi nko na mahusiano yangu. Pili alvopata ujauzito mi nilimsapoti kwa mahitaji na Bills zote hadi last week anajifungua, ukatili uko wap hapo? Ubinafsi uko wap hapo?Kila siku mnatukana single mama hapa ndani. Ukweli single mama hawaibuki tu from no where, ni zao la wanaume wabinafsi na makatili kama wewe.
Unakwenda kuharibu future ya binti wa watu. Kaa chini imagine huyo binti angekuwa mwanao au Dada yako, ni maumivu gani ungepitia kuona anatendewa haya.
Hakuna wa kukulazimisha kumuoa huyo binti, ila kaa ukijua, na lala ukitambua umeharibu future yake.
USHAURI
1. Wazazi, tutumie muda wetu kuongea na mabint zetu kuwaeleza ukweli juu ya madhara ya kubeba mimba kabla ya ndoa.
2. Mabinti, jitambueni. Vishawishi vipo, ila tumieni akili.
3. Wanaume, kama hauna future na mtoto wa mtu usimuharibie maisha yake. Karma ipo.
*nikiwa kama mama niliye na binti, nimeumia kama huyu binti ni wangu.
😅😅😅Kwisha Habari Yako...
Huchomoi