- Thread starter
- #41
Mimi sijapanic wala kumpanikisha binti, nimemsapoti toka mimba hadi kujifungua.Mimba isiyotarajiwa ni mimba ipi?
Maana Hadi mnavua nguo na kusex bila kinga hamkujua matokeo yake?
Mkuu, nakusihi uwe mpole Tu, usimpanikishe bint wa watu jitahidi kumpa ushirikiano.
Mnaweza kulea Tu mtoto pasipo mchumba wako kujua.
Mimi ni wewe Kabisa, Sema Mimi nategemea mapacha April na kizuri ni Me na Ke.
Mipango yangu na mchumba wangu iko pale pale, bint nampa ushirikiano vizuri Kabisa.
Unapokuwa mwanaume, Tatizo linapotokea hutakiwi kupanic just relax tuliza akili, Think Twice Hadi upate solution. Sasa Kama umechanganyikiwa hivi uyo bint wa watu atakuwaje?
Ishu ya kutumia kinga mara nyingi hua mwanzoni ila mazoea yakizidi unajikuta tu unaenda kavu. I declare the defeat