mimba kuharibika

sixlove

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
563
Reaction score
393
habarini wapendwa marafiki. napenda kujuzwa ni vitu VP vinavyoweza kufanya mimba ya chini ya miezi mitatu kuharibika. vilevile napenda kujuzwa kama kuna vipimo vinavyo detect mwanamke kuwa na uwezo wa kushika mimba. NAWASILISHA
 
1.kama mimba iliyotungwa inamapungufu lazima itoke...2.matumizi ya madawa makali.....3.ufanyaji wa kazi nzito ikiwemo kuinama inama....4 msongo wa mawazo
 
Mimba yangu changa ya miezi miwili na nusu iliharibika baada ya kutumia asali mbichi, sasa hivi ningekuwa napakata mtoto mchanga mikononi mwangu. Ila nilijifunza ya kuwa sitakiwi kulamba asali au kutumia ktk mkate ikiwa una mimba chini ya miezi mitatu. :A S cry:

Sijui ni kwanini asali safi mbichi ikitumiwa hutoa mimba ya chini ya miezi mitatu, naomba wataalamu watusaidie ktk hili!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…