Mimba yangu changa ya miezi miwili na nusu iliharibika baada ya kutumia asali mbichi, sasa hivi ningekuwa napakata mtoto mchanga mikononi mwangu. Ila nilijifunza ya kuwa sitakiwi kulamba asali au kutumia ktk mkate ikiwa una mimba chini ya miezi mitatu. :A S cry:
Sijui ni kwanini asali safi mbichi ikitumiwa hutoa mimba ya chini ya miezi mitatu, naomba wataalamu watusaidie ktk hili!!!!