RAYHAN Member Joined May 12, 2013 Posts 21 Reaction score 9 May 14, 2013 #1 halooo.. wapendwa naomba msaada wa kujua hili,ni9na shemeji yangu ambae alikuwa na ujauzito,na baada ya kufikisha miezi miwili ujauzito ule ume haribika tatizo hili lina sababishwa na nini? msaada wenu wana jamii.
halooo.. wapendwa naomba msaada wa kujua hili,ni9na shemeji yangu ambae alikuwa na ujauzito,na baada ya kufikisha miezi miwili ujauzito ule ume haribika tatizo hili lina sababishwa na nini? msaada wenu wana jamii.
Chocs JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 8,411 Reaction score 4,777 May 14, 2013 #2 Aende hospital kwanza ili kama ni wa kusafishwa afanyiwe hivyo then atapatiwa matibabu mengine. Mpe pole.
Aende hospital kwanza ili kama ni wa kusafishwa afanyiwe hivyo then atapatiwa matibabu mengine. Mpe pole.