kikaragosi
Senior Member
- Nov 14, 2010
- 112
- 10
Mwezi wa pili mpz wangu aliniambia mimba imetoka ikiwa na wiki 5 na kwa mujibu wa ilo swala alisema eti amekunywa dawa cz alikuwa anaumwa tumbo,sasa alienda hospita akasafishwa na kipindi hizo mie nlikuwa safarini.Tatzo c mimba kutoka au ameamua kutoa mwenywe thn ajifanye imetoka ila toka siku hiyo aliniambia eti ameambiwa na doctor akae miezi mi 3 bila kusex,kidume nimevumilia sasa naomba game anasema hana hamu kabisaaa anaic ana hofu ya ile mimba. Je wadau ni kweli mimba ikitoka au kutoa inachukua miezi 3 ndo anarihicwa sex au ndo napigwa changa?