Mimba kutokukuwa

Mimba kutokukuwa

lady mmarangu

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
306
Reaction score
166
Habarini za Asubuhi wapendwa naomba kuuliza hivi nini kinasababisha mimba kutokukuwa?nina ndugu yangu ni mjamzito wa miezi mi tatu,ila kila anapoenda kwa doctor anaambiwa hakuna mabadiliko yani mtoto haongezeki,nini tatizo wapendwa naomba masaada wenu wa haraka.
 
Kikwetu inaitwa "hotay" mimba inaweza kukaa tumboni miaka mingi haikui ila kitaalamu sijawahisikia kitu kama hicho
 
Majibu ya doctor ni kwamba itolewe,sa inakuwa ngumu kidogo mkuu
Kama hakuna madhara anayoyapata muhusika pamoja na kuambiwa hakuna mabadiliko...anaweza endelea kusubiri mpaka atakapofikisha miezi 9 kwani hata vipimo huwa vinakosea au kuwa na hitilafu katika utendaji kazi wake.
 
Kikwetu inaitwa "hotay" mimba inaweza kukaa tumboni miaka mingi haikui ila kitaalamu sijawahisikia kitu kama hicho
Inaumiza sana mana anakaa akidhani labda itaanza kujua!
 
Kama hakuna madhara anayoyapata muhusika pamoja na kuambiwa hakuna mabadiliko...anaweza endelea kusubiri mpaka atakapofikisha miezi 9 kwani hata vipimo huwa vinakosea au kuwa na hitilafu katika utendaji kazi wake.
Akikaa nayo mpaka miezi tisa mwisho wake itakuwa nn mkuu?
 
Habarini za Asubuhi wapendwa naomba kuuliza hivi nini kinasababisha mimba kutokukuwa?nina ndugu yangu ni mjamzito wa miezi mi tatu,ila kila anapoenda kwa doctor anaambiwa hakuna mabadiliko yani mtoto haongezeki,nini tatizo wapendwa naomba masaada wenu wa haraka.
Vipimo vinasemaje kuhusu uhai wa kiumbe aliyepo ndani?
 
Congratulations,

You are now The World's Best Stupid person of 2018..
bullshit
tapatalk_1540037290463.jpeg
 
Back
Top Bottom