Mimba kutunga nje ya kizazi

senzoside

Senior Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
182
Reaction score
31
Shida inakuwaga ni nini mimba kutunga nje ya kizazi?
 
Hiyo hali inaitwa ectopic pregnancy hii hali kwa ufupi ni pale fertilization inapofanyika nje ya mji wa uzazi yaeza kuwa kwenye mirija (fallopiantubes) au mara nyingine tumboni kabsa (peritoneum cavity)
 
Okey asante kwa elimu hiyo...... Ila sasa chanzo cha tatizo hilo ni nini?
 
Mara nyingine ni abnormality kwenye hizo tubes lakin cause kubwa ni kwa mama kuugua mara kwa mara magonjwa ya zinaa au augue afu astibiwe kwwa mda mrefu pia yaeza kuwa cilia immobility kwenye fallopian tubes ambazo hizi cillia ndo hulisukuma yai kutoka kwenye ampulla kwenda kwenye mji wa uzazi
 
Okey aksante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…