Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo hali inaitwa ectopic pregnancy hii hali kwa ufupi ni pale fertilization inapofanyika nje ya mji wa uzazi yaeza kuwa kwenye mirija (fallopiantubes) au mara nyingine tumboni kabsa (peritoneum cavity)
Mara nyingine ni abnormality kwenye hizo tubes lakin cause kubwa ni kwa mama kuugua mara kwa mara magonjwa ya zinaa au augue afu astibiwe kwwa mda mrefu pia yaeza kuwa cilia immobility kwenye fallopian tubes ambazo hizi cillia ndo hulisukuma yai kutoka kwenye ampulla kwenda kwenye mji wa uzazi