Hivi karibuni, members wa JF kutoka Kenya walitucheka Tanzania kwa visa 100 vya wanafunzi kupata ujauzito kwa miezi mitatu ya kuwa nyumbani. Ni hatari hakika.
Lakini Takwimu za DW swahili leo mchana na Sudy Mnete, wametanabaisha kuwa, Machakosi kila siku iendayo kwa Mungu wasichini wenye umri wa 19 kushuka chini wanapata ujauzito. Hivyo kwa mwezi yaani siku 30 ni wasichana wa shule 840 wanaopata ujauzito kwa Machakosi peke yake. Kwa miezi mitatu ya corona, inakadiriwa wasichina 3,000 wamepata ujauzito.
Hadi shule zifunguliwe hakuna binti wa machakosi atarejea shule, watakuwa wanalea mimba tu.
Kenya mmetisha