Mimba kwa wanafunzi-Machakos Kenya

Mimba kwa wanafunzi-Machakos Kenya

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
Hivi karibuni, members wa JF kutoka Kenya walitucheka Tanzania kwa visa 100 vya wanafunzi kupata ujauzito kwa miezi mitatu ya kuwa nyumbani. Ni hatari hakika.

Lakini Takwimu za DW swahili leo mchana na Sudy Mnete, wametanabaisha kuwa, Machakosi kila siku iendayo kwa Mungu wasichini wenye umri wa 19 kushuka chini wanapata ujauzito. Hivyo kwa mwezi yaani siku 30 ni wasichana wa shule 840 wanaopata ujauzito kwa Machakosi peke yake. Kwa miezi mitatu ya corona, inakadiriwa wasichina 3,000 wamepata ujauzito.

Hadi shule zifunguliwe hakuna binti wa machakosi atarejea shule, watakuwa wanalea mimba tu.

Kenya mmetisha
 
Umewapunja mkuu, kuna mimba zaidi ya elfu nne(4,000). Na kenya ndio inaongoza kwa mimba za utotoni. Wameruhusiwa wazae tu hakuna shida wataendelea na shule.

Sasa wale waliokuwa wanapiga kelele za mimba mashuleni hapa nchini ndio wajue sasa...fungulia mbwa huko kwa jirani imeshaleta kizaa zaa.
 
Hatari sana. Ngoja waje tuwasikilize
Umewapunja mkuu, kuna mimba zaidi ya elfu nne(4,000). Na kenya ndio inaongoza kwa mimba za utotoni. Wameruhusiwa wazae tu hakuna shida wataendelea na shule.

Sasa wale waliokuwa wanapiga kelele za mimba mashuleni hapa nchini ndio wajue sasa...fungulia mbwa huko kwa jirani imeshaleta kizaa zaa.
 
Safi sana wacha waijaze dunia. Hizi mvhi zetu zinahitaji sana nguvu kazi. Wacha watoto wazaliwe kwa wingi
 
Back
Top Bottom