Mimba miezi 6

Mimba miezi 6

Jean piaget

Senior Member
Joined
Mar 15, 2014
Posts
143
Reaction score
34
Hi JF members?

Mke wangu alianza safari juzi kafika leo huko alikokua akienda ni mbali sana, lakini amenipigia sim anajisikia vibaya tumboni ukizingatia ni mjamzito wa miezi 6,

Je, hiyo safari inaweza kumletea madhara ktk ujauzito wake?
NB: Alitumia usafiri wa basi, pia ni mimba ya kwanza, Watalaam wa mambo ya afya naomba mawazo yenu.
 
watu wanashauriwa wakiwa wajawazito wasisafri hovyo hasa haya mabasi yenye mitikisiko.nna ndugu yangu nae hivo hivo alijifungua njiti sababu ya kusafiri umbali mrefu na gari..mwambie aende hospitali
 
na inategemea na kizazi cha mtu mwambie aende hospital
 
aende hospitali kabla hajafanya kazi nyingine ikaongeza tatizo
 
Back
Top Bottom