Jean piaget
Senior Member
- Mar 15, 2014
- 143
- 34
Hi JF members?
Mke wangu alianza safari juzi kafika leo huko alikokua akienda ni mbali sana, lakini amenipigia sim anajisikia vibaya tumboni ukizingatia ni mjamzito wa miezi 6,
Je, hiyo safari inaweza kumletea madhara ktk ujauzito wake?
NB: Alitumia usafiri wa basi, pia ni mimba ya kwanza, Watalaam wa mambo ya afya naomba mawazo yenu.