mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
wanaJF habari...
jana nimekaa na wadau wangu tukitafakari hili na lile..ikiwa ni pamoja namajanga yanayoendelea kuangamiza watu kila kukicha.....lakini maisha lazima yaendelee...watu lazima tuzaliane kizaz kiendelee..
ndipo ilipokuja mada kwamba wengi wa wanandoa au wapenzi once wameamua kutafuta mtoto/mimba inachuku amuda sana hadi kupatikana...
siku hizi mwanamke kuwa kwenye siku za hatari haikupi garantii kwamba mimba itaingia...tunamifano ya kutosha ya wanandoa wanaosaka mimba zaidi ya miaka kwa sasa...........tatizo nini?haya mambo sasa yamekua kwa kasi sana.......mzee unapiiiiga kweli kweli daily bread....all of a sudden next month mama halet gudnews...whats not hapening?Mungu tunusuru!!
ieleweke kwamba sizungumzii utasa hapa..nazungumzia ile hali mnakaa miaka hata mi3 then ndo mimba inapatikana..inachosha wajamen hasa kwa wenye roho ndogo