Mimba tatu zimeharibika

Asante sana kwa ushauri tatizo ni hizo gharama nachosubiria kwa sasa ni kufanya hicho kipimo cha HSG tena ili kuona je huo mrija bado umeziba? Na kitu ambacho sikielewi mwanamke mirija ikiziba mzunguko wake (kwa maana ya period) anapata kama kawaida?
 
Pole sana kaka
Mungu akupe moyo wa uvumilivu na kuwezeshe kukuza imani yako
Amini Mungu anaweza kufanya na atafanya
Wasiliana na hawa washauri huwa wanashauri na kutoa dawa kwa ajili ya kuzibua mirija ya uzazi 0716768855
Asante kaka kwa mawasiliano nitatawatafuta ila ngoja kwanza tufanye hiyo HSG tu majibu yanesemaje nitawatafuta
 
mkuu nenda kwa daktari mpime yawezekana mbegu zako ni sumu kwenye mwili wa mkeo.. na wakijua hilo kuna dawa utapewa mimba itatulia tu vizuri
 
Zingatia hii status na utaona muujiza wake.. Katika jina la Yesu christo aliye hai pokea hitaji la moyo wako sasa... Kama Ibrahim na Sarah mkewe walivyopokea muujiza ni Mungu yule yule hajabadirika atatenda kwako leo.. Amen
 
Ameen
 
kuna kitu kinaitwaa rd factor negative na rd factor postive zikiwa tofauti huwa inatokeaga hivoo mimi nashauri kapimeni groups za damu na hizoo factors
 
kuna kitu kinaitwaa rd factor negative na rd factor postive zikiwa tofauti huwa inatokeaga hivoo mimi nashauri kapimeni groups za damu na hizoo factors
Poa ushauri wako umefika nitaufanyia kazi asante
 
Pole sana...lakini waweza tumia virutubisho vya fur seal oil na phytoestrogen vitakusaidia kushika mimba kwa haraka sana na kuimarisha mfumo wako wa uzazi...wasiliana nasi kwa namba 0653299934
 
Duuh! Pole sana!
 
Dogo chalaza hiyo 'k' mpaka ibadirike rangi iwe nyekundu, mimba itaingia tu sasa maana hakuna namna!!
 
Kati ya watu wote naona wewe ndo umetoa mchango negative. Mdau anahitaji encouragement, usiwe na roho ya Israel hivi.
Kama anataka ushauri kweli inabidi tuweke mezani visababishi vyote halafu adadavue tu mwenyewe .. Anisamehe tu kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…