Mimba ya Aunt Ezekiel yazidi kuzua utata juu ya aliyempa mimba

Mimba ya Aunt Ezekiel yazidi kuzua utata juu ya aliyempa mimba

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
539
Reaction score
644
Jana wakati wa kipindi cha Ampilifaya cha Clouds Fm Millard Ayo, alimuuliza Aunt Ezekiel kuhusu mwanaume aliyempa mimba.Je ni Waziri wa wanyama au yule mcheza densi au mumewe anayeozea jela za uarabuni.
 
Hahaha hadi sasa Mwelekeo wa hii thread na hata mwisho wake sio mzuri sana!
 
Mimba ni ya iyobo Sema tu anaona aibu kum'bemenda Mtoto Mdogo kama yule ata Mara ya kwanza si alikanusha kusema hana ujauzito na sasa huu umetoka wapi...???? Muhusika mose iyobo na Aunty kasababisha had katengana na mzazi mwenzie
 
Jana wakati wa kipindi cha Ampilifaya cha Clouds Fm Millard Ayo, alimuuliza Aunt Ezekiel kuhusu mwanaume aliyempa mimba.Je ni Waziri wa wanyama au yule mcheza densi au mumewe anayeozea jela za uarabuni.

Waziri wa wanyama....si ni mme wa mtu yule??kweli tunatatizo katika maadili
 
Hiki kipindi cha mpito mpaka kinda kuja kuzaliwa tutasikia mengi
 
Wakuu heshima kwenu,

Super star wa bongo movie Aunty Ezekiel inasadikiwa ana ujauzito sasa hivi lakini hakuna anayejua ukweli wa ile mimba ni ya nani.

Lakini sote tunakumbuka superstar wetu huyu wa bongo muvi alisafiri na waziri mmoja wa jamuhuri kwa kipindi kama cha wiki tatu huko ughaibuni kwenda "Kutangaza utalii". Je, haiwezekani Mh.Waziri pia alitangaza "utalii" kwenye mwili wa supa staa huyu wa bongo muvi??

Kuna kipindi huko Nyuma Waziri wetu huyu alisema Marekani inamtaka awe Rais wa JMT lakini sasa hivi huyo waziri nae katangaza rasmi nia ya urais.

Kama ndoto za waziri wetu huyu zikitimia basi tusishangae kusikia "First lady" wa JMT ni Aunty Ezekiel.

Nawaza kwa sauti

Tukutane October

Professor kilaza
.
 
Back
Top Bottom