Wakuu heshima kwenu,
Super star wa bongo movie Aunty Ezekiel inasadikiwa ana ujauzito sasa hivi lakini hakuna anayejua ukweli wa ile mimba ni ya nani.
Lakini sote tunakumbuka superstar wetu huyu wa bongo muvi alisafiri na waziri mmoja wa jamuhuri kwa kipindi kama cha wiki tatu huko ughaibuni kwenda "Kutangaza utalii". Je, haiwezekani Mh.Waziri pia alitangaza "utalii" kwenye mwili wa supa staa huyu wa bongo muvi??
Kuna kipindi huko Nyuma Waziri wetu huyu alisema Marekani inamtaka awe Rais wa JMT lakini sasa hivi huyo waziri nae katangaza rasmi nia ya urais.
Kama ndoto za waziri wetu huyu zikitimia basi tusishangae kusikia "First lady" wa JMT ni Aunty Ezekiel.
Nawaza kwa sauti
Tukutane October
Professor kilaza.