Mimba ya Aunt Ezekiel yazidi kuzua utata juu ya aliyempa mimba

Mimba ya Aunt Ezekiel yazidi kuzua utata juu ya aliyempa mimba

Kama Nilivyoandika Hapo Na Nina Hakika Nalo 100%. Sibahatishi Mkuu Ya Kile Nikiandikacho Humu Na Hata Yeye Akisoma Hii Post Yangu Aibu Itamshika. Na Haya Ni Machache Tu Mkuu au Unataka Nikuzidishie Dozi Yake Ufaidike Zaidi?

Naomba uzidishe dozi😀
 
kumbe Aliacha Ile Tabia Yake Ya Kupenda Kutoa URODA Kinyume Na Maumbile Kwa Kumpa Tsh Milioni Moko Na UNA MGEGEDA Ktk Ile Gari Yake? Hongera Zake Kwa Kuamua Kubeba Mimba Sasa ILA Atawapa Sana Kazi Ya Ziada Manesi Siku Yake Ya Kujifungua Kwani Itabidi Waandae Pamba Za Kumzibia KONTENA Zima! Mazingira Ya Coco Beach Yangekuwa Yanaongea Hakika Yangeshuhudia Mengi Ya Kumhusu MBEBA MIMBA Huyu. Gari Yake Ukipanda Basi Ushukapo Itakubidi Utafute Bafu Ukaoge Kwani Inakuwa Na Kipafyumu Cha Nnya Itokanayo Na Tabia Yake Ya Kupenda Kuruka Ukuta Wa Shamba La Bibi.

Mkuu mbona yamekutoka hivyo...?
 
wakuu

heshima kwenu

super star wa bongo movie Aunt Ezekiel inasadikiwa ana ujauzito sasa hivi lakini hakuna anayejua ukweli wa ile mimba ni ya nani

lakini sote tunakumbuka superstar wetu huyu wa bongo muvi alisafiri na waziri mmoja wa jamuhuri kwa kipindi kama cha wiki tatu huko ughaibuni kwenda "Kutangaza utalii" je haiwezekani Mh.Waziri pia alitangaza "utalii" kwenye mwili wa supa staa huyu wa bongo muvi?? kuna kipindi huko Nyuma Waziri wetu huyu alisema Marekani inamtaka awe Rais wa JMT lakini sasa hivi huyo waziri nae katangaza rasmi nia ya urais

kama ndoto za waziri wetu huyu zikitimia basi tusishangae kusikia "First lady" wa JMT ni Aunt Ezekiel

Nawaza kwa sauti

Tukutane October

Professor kilaza

Hata kama Bahati mbaya Nyalandu akachukua, huyu atabaki kua Mchepuko a.k.a Mlupo tu. First Lady ni FARAJA KOTA!!
 
Mkuu mbona yamekutoka hivyo...?

Soma Kichwa Cha Habari Na Ukishakielewa Njoo Tena Uniulize Hili Swali Lako La Ki POPOMA. Hata Mgombea Urais Kwa Tiketi Ya Republican Miaka 7 Iliyopita Dada Sarah Palin Alipowekwa Hadharani Moja Ya Kitu Kilichomwangusha Ni Skendo Yake Kubwa Ya Kutoa Mimba Mbili Na Hapo Hapo Akajitoa Ktk Kinyang'anyiro Na Wenzetu Wamarekani Hufuatilia Hadi Vitu Vya Ndani Vya Muhusika Ili Asije Kuwatia Aibu Akiwa Madarakani Hivyo Nami Kwa Kusikia Kuwa Eti Huyo Bibie Atakuwa First Lady Nikaamua Kufanya Kile Ambacho Taifa Kubwa Na Tunalolitegemea La Marekani Hufanya Kwa Wanasiasa.
 
Kama Nilivyoandika Hapo Na Nina Hakika Nalo 100%. Sibahatishi Mkuu Ya Kile Nikiandikacho Humu Na Hata Yeye Akisoma Hii Post Yangu Aibu Itamshika. Na Haya Ni Machache Tu Mkuu au Unataka Nikuzidishie Dozi Yake Ufaidike Zaidi?

Uhakika 100% manake na wewe ulishamkwangua mk***u.
 
Hivi mda wa kufatilia haya makitu,sijui nani kalala na nani,cjui mimba ni huyu sio ya yule mnaupataga wapi.?
 
Huyo pindi aitwaye ant mara sijui ezekieli ni nani jamani au jikedume maana majinayake siyaelewi ninani huyo mtu
 
mods itendeeni haki Jf,huu uzi ulikuwa kule jukwaa la celebrities ,mmeutoa kule mmeuleta hapa forum ya siasa hata sielewi kwa sababu ipi,Waziri anayezungumzwa hapa ni mme wa Faraja,kwa hiyo hata awe president first lady atakuwa Faraja,mods mmegeuza jukwaa la siasa pia la udaku,kazi yenu imekuwa kutoa topic ngumu,zenye kufumbua macho na kuweka za udaku tu,
 
Mhhhhh pole maana mimi mwenzenu bado sijashawishika kucheza na hiyo kitu? Nina kinyaa balaaa. Ila kwa taarifa za kwenye mitandao, siku hizi wadada wanaotoa hiyo kitu sio huyo tu wako wengi na wamejihalalishia.
 
Back
Top Bottom