Mimba ya dakika 30

Huyu ni wewe huyu!!!
well said mkuu.
Inaonekana jamaa anampenda sana huyo mwanamke.
Mm nahic huyo binti kamaliza 4m4 mwaka jana halafu akafeli.
Mwanamke mjanja ingepita km wiki 3 hiv akamwambia jamaa.
Hawa wanawake ni hatari sana. Unaweza kulea watoto kumbe siyo wako
 
Reproduction nenda soma hii topic (search Google) utajua mimba inatungwa baada ya muda gani sio kila kitu uulize vingine soma.
 
Mwambieni uyo binti asimpe balaa kijana wa watu, kuhusu kutapika yaweza kuwa ana kinyaa tu lakini si mimba, ila na uyo mwanaume nae bwege yaani mimba ya aina gani hiyo ya dk hizo hizo bibie kujua tayari kanasa labda ya kimasai
 
[emoji121]
WEKA PICHA FASTA NIKUSHAURI KITAALAM'.
 
Reproduction nenda soma hii topic (search Google) utajua mimba inatungwa baada ya muda gani sio kila kitu uulize vingine soma.
Ahsante Raphael wa ureno!! Nadhan Leo baada ya kumwona Daktari nitawaletea mrejesho!!!
 
Mwambieni uyo binti asimpe balaa kijana wa watu, kuhusu kutapika yaweza kuwa ana kinyaa tu lakini si mimba, ila na uyo mwanaume nae bwege yaani mimba ya aina gani hiyo ya dk hizo hizo bibie kujua tayari kanasa labda ya kimasai
Ahsante kwa mchango wako LadyAJ,niteleta mrejesho maana Leo tunaenda kumchek Daktari wa maswala ya Uzazi!!!!
 
well said mkuu.
Inaonekana jamaa anampenda sana huyo mwanamke.
Mm nahic huyo binti kamaliza 4m4 mwaka jana halafu akafeli.
Mwanamke mjanja ingepita km wiki 3 hiv akamwambia jamaa.
Hawa wanawake ni hatari sana. Unaweza kulea watoto kumbe siyo wako
Tatzo lako umechangia kwa Kuhukumu bila kutoa Gemin reasons!!!!
 
Na mpigwe sana na walimu,watu wenye akili pumba kama zako hko mashuleni
Kijana!! Kuongea saana huwezi Ku gain kitu nadhan kusikiliza inaweza kukusaidia kisikia kupata maarifa toka kwa waliokupita kitaalima juu ya maswala usio yaelewa kwa Undani!!!!
 
Bro hilo ni hitimisho sio proof ya kisayansi!!!! Hata hivo ahsante kwa Kuja!!!
 
[emoji120]
Sasa mkuu ww ulikuwa unataka nn? Mm nafikiri ww ndiyo mhusika wa mimba ya dk 30.
Naona umekomaa na hitimisho la kisayansi.
Mkuu yaani siku ya kwanza tu. Tena baada ya kumaliza tendo unaambiwa ana mimba yako.
Lbda km siku za nyuma ulikuwa unapiga.
Hii haitaji hata uthibisho wa kisayansi. Halafu mkuu umekomaa yaan humu ndani unabishana na kila mtu kuwa unataka uthibitisho wa kisayansi.
Unataka uelezwe jinsi sperm zinavyoingia, .... Jinsi mimba inavyotungwa n.k

Ww utakuwa mara yako ya kwanza kufanya mapenzi.
 
Huyu atakuchosha tu, achana nae mkuu anataka ushauri alafu anabisha si angeikubali tu iyo mimba asubiri DNA ya kisayansi mtoto akizaliwa ila mimi na experience niliyonayo juu ya kuzaa sijawahi pitia hiyo hali ila nnachofahamu mwanamke kutapika baada ya tendo yaweza kuwa kabla hajarushwa rushwa bibie alishiba sana (unavyojua ukishiba sana ukapanda gari masafa marefu kwenye bus ukawa unarushwa rushwa) unaweza jikuta unaishia kutapika, au bibie ana kinyaa sperm zimemchefua akapata kichefuchefu na kutapika, acha abambikwe kulea 9 months si kitu mchezo mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…